album cover
Mwokozi
album cover
00:00
00:15
00:30
00:50
01:10
01:25
01:30
01:35
01:55
02:10
02:15
02:20
02:30
02:40
02:50
03:10
03:25
00:00
03:30
Past 7 Days
Mwokozi was discovered most frequently at around 15 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Uhakika wa maisha yangu
Ni kwa sababau ninakwamini Mungu
Huwezi niacha pekee yangu
Kwenye giza nene umekua nuru
Nakutegemea wewe na sio mtu
Mwanadamu kamwe hawezi kuwa Mungu
Kwake siwezi weka tumaini langu
Ila kwako mwokozi na Mungu wangu
[PreChorus]
Macho yangu kwako nakuangalia we
Mwokozi ni wewe na sina mwingine
Macho yangu kwako nakuangalia we
Mwokozi ni wewe na sina mwingine
[Chorus]
Bwana ni jabali langu
Boma langu mwamba wangu
Gombe yangu na sina mwingine
[Verse 2]
Najua una nguvu waweza nibeba
Mwanadamu atachoka ataniangusha
Mwanadamu hugeuka wakati wowote
Ila kwako uhakika huwezi nitupa
Milimani mabondeni Baba
Uko na mimi
Huwezi niacha njiani maana
Ninakuamini
Masika ama kiangazi Baba
Uko na mimi
Huwezi niacha gizani maana
Ninakuamini
[PreChorus]
Macho yangu kwako nakuangalia we
Mwokozi ni wewe na sina mwingine
Macho yangu kwako nakuangalia we
Mwokozi ni wewe na sina mwingine
[Chorus]
Bwana ni jabali langu
Boma langu mwamba wangu
Gombe yangu na sina mwingine
Bwana ni jabali langu
Boma langu mwamba wangu
Gombe yangu na sina mwingine
Written by: PAUL CLEMENT
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...