Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Gibson Lewa
Lead Vocals
The Awakening Experience Kenya
Background Vocals
Pitson
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Gibson Lewa
Songwriter
The Awakening Experience Kenya
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gibson Lewa
Producer
Gibson Makanza
Mixing Engineer
Lyrics
Nataka nizame
Kilindini mwako
Nifafanane nawe
Siku zote
Chorus
Kaa ndani yangu
Nami ndani yako
Fanya moyo wangu uwee
Makao yako
Nataka nikae
Uweponi mwako
Zaidi ya vyote
Siku zote
Yesu
Chorus
Kaa ndani yangu
Nami ndani yako
Fanya moyo wangu uwee
Makao yako
Written by: Gibson Lewa, The Awakening Experience Kenya