album cover
Si Mimi
album cover
00:00
00:05
00:20
00:40
00:45
00:55
01:00
01:10
01:25
02:10
02:40
00:00
03:02
Past 7 Days
Si Mimi was discovered most frequently in the first few seconds of the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Nitazunguka dunia nitangaze sifa zako
Uzuri wako, siwezifanya siri
Wanibebeshe kuumia na zote dhambi zakoo
Sumu yako, imetawala mwili
[PreChorus]
Sii mimi, ni akili yangu
Si mimi, ni moyo wangu
Si mimi ni mawazo yangu
Si mimi, labda roho yangu
[Chorus]
Mimi bila wee, mimi bila wee
Mimi bila wee, si bora waniuwe
Mimi bila wee, mimi bila wee
Mimi bila wee, si bora waniuwe
[Verse 2]
We ndio daktari, mponya maradhi
Yaani kama asali, zali la mentali
Nakupenda kweli, hilo kiko wazi
Jua ukinitupa, utaniachia simazi
[PreChorus]
Si mimi, ni akili yangu
Si mimi, ni moyo wangu
Si mimi ni mawazo yangu
Si mimi, labda roho yangu
[Chorus]
Mimi bila wee, mimi bila wee
Mimi bila wee, si bora waniuwe
Mimi bila wee, mimi bila wee
Mimi bila wee, si bora waniuwe
[Outro]
Mimi bila wee, bila wee
Bila wewe, eyeyee
Written by: Juma Mkambala, Jux, RAYMOND MAZIKU, SALMINI MAENGO
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...