album cover
Hapana
album cover
00:00
00:05
00:15
00:25
00:30
00:35
00:40
01:05
01:40
02:00
02:10
02:30
02:45
03:15
00:00
03:36
Past 7 Days
Hapana was discovered most frequently at around 2 minutes and 10 seconds into the song during the past week

Lyrics

[Verse 1]
Mi mwenzako sina tena
Mahali ambako ata nitajipoza machungu yangu
[Verse 2]
Aah mi mwenzako sina tena
Mahali ambako ata nitajipoza machungu yangu mmh
Let me know baby let me know
Wapi nakosea labda
Mbona imekua ghafla plz baby no
Let me know baby let me know
Wapi nakosea aah kipi sijakufanyia eeh
Ahadi ni deni mi nakudai husisahau
Umenizamishaa no baby no
[Chorus]
Hapana, hapana, hapana
Hapana hapana hapana
Hapana hapana hapana
Hapana
Hapana hapana hapana
Hapana hapana hapana
Hapana hapana hapana
Hapana
[Verse 3]
Na ntaambia nini watu
Wakiniona nalia wakiniona chozi lanitoka
Wajua maneno ya watu hayanaga pazia
Kama najiona roho nitavyonitoka aah
Shida ni kwamba utaondosha amani yangu
Yote thamani yangu inazama yooh
Shida ni kwamba utaondosha raha zangu
Na yote thamani yangu ndogoo
Ahadi ni deni mi nakudai
Usisahau umenizamisha no baby no
[Outro]
Aah no-no, no-no eh
Aah eeh
Aah hapana
Written by: Kapipo Beats, Omary Ally Mwanga, Sweetbert Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...