Credits

PERFORMING ARTISTS
Carlos N
Carlos N
Performer
Gopa Beatz
Gopa Beatz
Mixed Artist
COMPOSITION & LYRICS
Carlos ntangeki
Carlos ntangeki
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gopa Beatz
Gopa Beatz
Producer

Lyrics

Yeah…Ni Carlos N Tz
(Kafeeling…(Gopa...Beatz) ni ka feeling...)
Kuna kafeeling nakapata niki pii nikipiga hodi home harafu wife akaitii sio hasiitii kuwa ni kazi ya HG ni bora hasiitii kwasababu hajaisiki-a
Kuna ka feeling nakapata deal kubwa ikitiki au ni cashout harafu mkeka husikutiki. Vipi mjita wangu vipi go kutiki,hata ka ni tight unatakiwa ustick
Kuna kafeeling nakapatapata sana bro
Pale mfukoni napokuwanazo nyingi dough nakula bata asubuhi yaani mpaka jioo usiniombe pesa we kamata yako chupa joh (kunywa pombe)
Kuna kafeeling nikipiga miti nikipiga nyama haijalishi nyama ipi…iwe ya mafuta au mafupa bali meat, si unajuaga kafeeling hapa bia hapa MITI
Kuna kafeeling nakapata X akikosa food (yes)
X akipigika mpaka chini sakafuni (yes)
X akikabwa na mfupa wa sea food
Eti sina roho nzuri roho nzuri my foot (mwache akabwe)
Kuna kafeeling simu yako imeharibika
Ni zaidi ya wiki nzima simu yako haijatibika
Au kale kafeeling timu yako imechoka yaani kwenye kila dabi timu yako ndio inaokota
Kiitikio
Kuna ka feeling….kunaka feeling flani
Kuna ka feeling….kunaka feeling flani
Kuna ka feeling….kunaka feeling flani
Unaka feel….kunaka feeling flani
Kuna kafeeling unakapata unapofanyiwa masaji (yeees) na kidume chako kitandani kwa ustadi ni kafeeling flani kana sahaulisha mpaka tabu (ayayayah)
Na ndio kafeeling tunakokafuata kwenye scrub (ah ah)
Kuna kafeeling umepata uteuzi
Ndani ya mamilioni wewe ndio wamekuchuzi (come on)
Baada ya muda mchache kwenye kazi unabugi
Kuna ka feeling anapata mteuzi
Kuna kafeeling, tunakapata sana weekdayz ikiwa ni sikukuu inakuwa mukide tunakula kuku siku nzima kukuday nakufanya upupu kama vile upupu day
Kuna kafeeling nchi yangu ikivimba
Madini haya ni yetu so hakuna kuyachimba
Hata bwana mkubwa Marekani akiTIMBA yeye na ubabe wake ajikute ameyatimba(yees)
Kuna kafeeling unakapata matokeo yametoka we umetokota washkaji zako wametoka na wanasherekea kwa pamoja walichopata
Kama ushapitia hakakafeeling unakapata(nimo)
Kuna kafeeling umenunua kwa pesa yako
Hata ka ni bia we nyanyua chupa yako
Mkono kifuani ukivuta hisia zako
Kisha fumba macho yako umshukuru Muumba wako
Kiitikio
Kuna ka feeling….kunaka feeling flani
Kuna ka feeling….kunaka feeling flani
Kuna ka feeling….kunaka feeling flani
Kunakafeeling kunaka feeling flani
Bridge:
Kuna kafeeling…kuna kafeeling flaniii baby eeeeh kunakafeeling flan…kuna ka feeling
Written by: Carlos ntangeki
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...