Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Platform
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Platform
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo
Producer
The Mix Killer
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Jeuri imenisha sina la kusema
Unanifikisha weee ndio chanda chema
Nyuso zawashukaa, nimependwa tena
Wanapuputika wana henye, henyaa
Nafutwa machozi
Machozi, aah-aah-aah
Anipa mapenzi, mapenzi, aah-aah-aah
Kumwacha na siwezi
Siwezi aah-aah-aaah
Kigoma mwisho wa reli nisha sfika aah-aah-aah
[Verse 2]
Ata kama sinywi pombe kwa penzi lako nileweshee
Aah baby, ruksa mimi ni wako nileweshe
Chochote utakacho fanya nakiri kwa penzi lakoo nileweshe
Mmh baby, ruksa mimi niwako nileweshe
[Verse 3]
Tandikeni jamvi muitane, eh
Mlokosa kaziii msutane he
Mliosema sitopendwa kiko wapi
Mbona mnashikana mashati
Nina nyota ya kupendwa si bahati
Muitane heeee
Nafutwa machozi machozi aah-aah-aaah
Anipa mapenzi mapenzi aah-aah
Kumwacha na siwezi
Siwezi aah aah Kigoma mwisho wa reli nisha fika aah aaha aaaaah
[Verse 4]
Ata kama sinywi pombe kwa penzi lako nileweshee
Aah baby,, ruksa mimi ni wako nileweshe
Chochote utakachofanya nakili kwa penzi lakoo nileweshe
Mmh baby ruksa. mimi niwako nileweshe
Written by: Platform