album cover
Baraka
1
Music
Baraka was released on June 7, 2025 by Patrick Oyaro as a part of the album Baraka - Single
album cover
Release DateJune 7, 2025
LabelPatrick Oyaro
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Patrick Oyaro
Patrick Oyaro
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Patrick Oyaro
Patrick Oyaro
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Jeremy Kasereka
Jeremy Kasereka
Recording Engineer, Mixing Engineer, Mastering Engineer

Lyrics

Bwana akubariki, naye pia akulinde
Akuangazie uso wake na kukufadhili
Bwana akubariki naye pia akulinde
Akuiniulie uso wake na akupe amani
Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji, kwa kadiri ya utajiri wake mtukufu katika Kristo
Kipawa chema, zawadi kamilifu hutoka mbinguni, Kwa Baba wa mianga, ambaye habadiliki kamwe
Ikiwa Mungu wetu huyavisha majani ambayo leo yapo, na kesho yachomwa moto.
Kwani nini itamshinda kuwavisha nyinyi, msiwe na imani hafifu hafifu kamwe
Eti nini nitakula, eti nini nitakunywa,
Eti nini nitavaa, achia wasioamini
Kwani Bwana anajua, unachokihitaji, basi uwe na imani kwa Baba mwenye enzi
Oooh nibariki Bwana..ee nibariki leo
Oooh nibariki Bwana..ee nibariki leo
Bariki familia yangu.. nibariki leo
Oooh nibariki Bwana..ee nibariki leo
Bariki na huduma yangu, nibariki Leo
Oooh nibariki Bwana..ee nibariki leo
Bariki na Kanisa letu, tubariki leo
Oooh nibariki Bwana..ee nibariki leo
Nibariki Bwana, nibariki leo
Oooh nibariki Bwana..ee nibariki leo
Nibariki Yesu, nibariki leo
Oooh nibariki Bwana..ee nibariki leo
Nibariki Bwana, nibariki leo
Oooh nibariki Bwana..ee nibariki leo
Written by: Patrick Oyaro
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...