album cover
Tumalize
album cover
Tumalize was released on July 14, 2025 by MADEMUSICBRAND as a part of the album Tumalize - Single
ReleasedJuly 14, 2025
LabelMADEMUSICBRAND
LanguageEnglish
BPM87
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Ina maana sikusikii tena Ina maana sikuoni forever upweke umeshanizidi adhabu uliyonipa legeza Ina maana hunipendi Tena mi siwezi we mwenzangu kuweza maumivu yamezidi Hadi nashindwa mate yangu kumeza
Mi siwezi kukupoteza naomba tuyamalize nashinda nikikuwaza mizozo tuimalize
Tumalize tofauti Mimi na wewe turudiane
 Tumalize tofauti Mimi na wewe turudiane
 
Mpaka Sasa nishatuma maua nikatuma barua cha ajabu uzisomi kumbe mi ndo mwenzako sijajua kama nakusumbua inamaana huzioni Kwangu ulikuja ujamachua nikakukuza ukakua ila Bado hauoni penzi lishafika mbaya hatua Yani Ile hatua ya dakika za jioni
Mi siwezi kukupoteza naomba tuyamalize nashinda nikikuwaza mizozo tuimalize
Tumalize tofauti Mimi na wewe turudiane
Tumalize tofauti Mimi na wewe turudiane
Written by: Lody Music
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...