album cover
Kubali
238
Music
Kubali was released on July 16, 2025 by The Musiq Market as a part of the album Kubali - Single
album cover
Release DateJuly 16, 2025
LabelThe Musiq Market
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM95

Credits

PERFORMING ARTISTS
Timitee
Timitee
Performer
Thomas Clifford
Thomas Clifford
Vocals
Sign Beats
Sign Beats
Keyboards
COMPOSITION & LYRICS
Thomas Clifford
Thomas Clifford
Songwriter
Sign Beats
Sign Beats
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sign Beats
Sign Beats
Producer

Lyrics

Eeeeeeeee oya yayaaa oya yaaaaa aaaaaaaa
Ile kadi yako ya mwaliko imenifikia,
naomba uzima baba kwenye harusi yako me ntahudhuria,
ila sorry nkuulize,makusudi tu umeona uniumize? mama aaa
tena haitoshi mpka ndoa kabisa unilize?
kumbe ulinipigaga soga,kwa nahau na tamu methali zako,
ukanijaza bichwa boga,kusema me nahodha wa chombo chako,
ona wemekuvusha border,nimebaki ukutani na picha zako,
kupenda ntakuwa muoga,ikijirudia kichwani taswira yako weweee
ndo ishakuwa tayari,(ishakuwa tayari)
na me nakubali,(nimekubali)
ndo ishakuwa tayari,(ishakuwa tayari)
ndo ishakuwa tayari,acha iweeeee
ndo ishakuwa tayari,acha iweeeee
aaaaaah aaaaaah
Mapenzi yanauma,ukiachwa na unaempenda,
alafu nae akaenda kwa anaempenda,
wallah hii ni dhuruma,sa kwanini ulisema unanpenda,
wakati unae unaempenda nae anakupenda,
oooh nana,si ulisema me niwakufanana,
mpka viapo tukaapizana,kumbe mwenzangu una za-ko njaama,
tena hazina maana, kumbukumbu za tuloyafanya,
umezivuruga umezitapanya,ona unamliza wa-ngu maama
kumbe ulinipigaga soga,kwa nahau na tamu methali zako,
ukanijaza bichwa boga,kusema me nahodha wa chombo chako,
ona wemekuvusha border,nimebaki ukutani na picha zako,
kupenda ntakuwa muoga,ikijirudia kichwani taswira yako weweee
ndo ishakuwa tayari,(ishakuwa tayari)
na me nakubali,(nimekubali)
ndo ishakuwa tayari,(ishakuwa tayari)
na me nakubali,acha iweeeee
na me nakubali,acha iweeeee
eeeeeeeee oya yayaaa oya yaaaaa aaaaaaaa
Written by: Sign Beats, Thomas Clifford
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...