album cover
Karibu
1
Afro-Pop
Karibu was released on July 1, 2025 by 9508921 Records DK as a part of the album Karibu - Single
album cover
Release DateJuly 1, 2025
Label9508921 Records DK
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mwidima
Mwidima
Drum Machine
COMPOSITION & LYRICS
Mwidima
Mwidima
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mwidima
Mwidima
Producer

Lyrics

Karibu Akilini mwangu
Ukija akilini mwangu
Wawa kipaumbele changu
Wangu kwa kila kitu
Mahali pangu salama
Nakupenda sana
Ninakuheshimu moyo wote
Ninakukubali bila sharti
Ndoto zako za muhimu
Karibu maishani
Njoo uingie ndani
Kuwa nawe natamani
Wangu wa thamani
Karibu maishani
Njoo uingie ndani
Kuwa nawe natamani
Wangu wa thamani
Kama zilivyo ndoto zangu
Nitakuwa nawe karibu
Kwa kila shida kila ushindi
Tutatengeneza mji wetu
Nyumba ya maskani yetu
Nyumba iliyojaa furaha
Amani na kucheka
Upendo na kudeka
Karibu maishani
Njoo uingie ndani
Kuwa nawe natamani
Wangu wa thamani
Karibu maishani
Njoo uingie ndani
Kuwa nawe natamani
Wangu wa thamani
Kwangu Utachangamka
Kwangu Utasikilizwa
Kwangu utaheshimiwa
Si kwa maneno
Bali kwa vitendo
Nitakuchagua kila siku
Kuhakikisha upendo wetu
Kuimarisha upendo wetu
Karibu maishani
Njoo uingie ndani
Kuwa nawe natamani
Wangu wa thamani
Karibu maishani
Njoo uingie ndani
Kuwa nawe natamani
Wangu wa thamani
Karibu Akilini mwangu
Written by: George Mwidima Kihanda
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...