album cover

Moyo

636Music2025
album cover
Moyo was released on July 18, 2025 by Malkia Karen as a part of the album Moyo - Single
ReleasedJuly 18, 2025
LabelMalkia Karen
BPM155
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Nikupe nini moyo
Mbona una choyo?
Vyote unataka viwe vyako
Huviachi vya wenzio mmh
Kila kitu moyo baya zuri moyo
Yaani vyote vyote unatamani uvipate hukosi kasoro
[PreChorus]
Na najitahidi kukuridhisha
Ila naona ka najichosha
Mbona unanipeleka puta
Hautosheki moyo
Moyo we ndo ulinisukuma
Mapenzi yote nimpe Juma
Hivi bado tu hujakoma
Mbona unanirudisha nyuma
[Chorus]
Oh moyo, nakuuliza nikufanyie nini
Moyo wangu utulie
Najiuliza nikupe kitu gani
Nakuuliza nikufanyie nini moyo wangu
Utulie najiuliza nikupe kitu gani?
[Verse 2]
Kosa sina, moyo wangu unanionea eh
Na mambo yakienda kombo unanikimbia
Uwezo sina unachotaka kukutimizia eh
Nafsi unaiweka rehani ungenihurumia
Moyo kiherehere husemi una makelele
Moyo kimbelembele hutaki nyama
Umemisi tembele
Moyo unapenda vingi
Vingine haviwezekani
Eti unataka madingi
Umewachoka viben 10 moyo
[PreChorus]
Najitahidi tu kukuridhisha
Ila naona ka najichosha
Mbona unanipeleka puta
Hautosheki moyo
Moyo we ndo ulinisukuma
Mapenzi yote nimpe Juma
Hivi bado tu hujakoma
Mbona unanirudisha nyuma
[Chorus]
Ooh moyo, nakuuliza nikufanyie nini
Moyo wangu utulie
Najiuliza nikupe kitu gani
Nakuuliza nikufanyie nini moyo wangu
Utulie najiuliza nikupe kitu gani
Written by: Karen Gardner Habash

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...