album cover
Taya
album cover
00:00
00:05
00:10
00:30
00:35
00:55
01:00
01:05
01:20
01:30
01:40
01:50
02:00
02:25
02:30
02:40
03:00
03:05
03:20
03:25
03:35
03:40
03:55
00:00
04:00
Past 7 Days
Taya was discovered most frequently in the first few seconds of the song during the past week

Lyrics

[Verse 1]
Naanzaje laumu, love iliisha mapema
Mapenzi yashanidhulumu, maisha haya ya sinema
Kwani tutakula mapenzi tu, swali limenivua heshima
Ipo siku nitafaulu na roho yangu mi nitaikinga
[Verse 2]
Ni salama, salama nawe
Napiga sala, na nainama
Lazma niiname, mvunguni nafika
Yashanwagika na yatazoleka
Siezishindwa so ni salama
Salama nawe salama
[Chorus]
Yawa ang'omi jara, hera olokore achaya
Abebina sina ubaya, miel koda mogik kapokisimo taya
Ang'omi jara, hera olokore achaya
Abebina sina ubaya, miel koda mogik kapokisimo taya
[Refrain]
Kirisimna taya, kirisimna taya
Kirisimna taya, abebo kirisimna taya
[Verse 3]
Asebedo kamanyo manyoge gima mara mari
To matin mayudo okoromi juu we ni baddie
Awino Mariana ona umefanya pii wang’a chwer
Ulinidanganya utakuwa pamoja koda nyaka chieng
[Verse 4]
Ni salama, salama nawe
Napiga sala, nainama
Sharti niiname, mvunguni nafika
Yashanwagika na yatazoleka
Siezishindwa so ni salama
Salama nawe salama
[Chorus]
Yawa ang'omi jara, hera olokore achaya
Abebina sina ubaya, miel koda mogik kapokisimo taya
Ang'omi jara, hera olokore achaya
Abebina sina ubaya, miel koda mogik kapokisimo taya
[Refrain]
Kirisimna taya, kirisimna taya
Kirisimna taya, abebo kirisimna taya
[Outro]
Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma
Nicheze nawe mara ya mwisho mbele
Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma
Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma
Written by: Julius Okelo McRymboh, Simon Eugene Ywaya
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...