album cover
Nilichoka
album cover
Nilichoka was released on August 8, 2025 by Daway as a part of the album Nilichoka - Single
ReleasedAugust 8, 2025
LabelDaway
LanguageEnglish
BPM93
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Hello
Hello Jazzy
Oya wee Aaan
Kumbukumbu ndo zinanitesa my
Japo uliniacha vibaya siwezi kuchukia
Asa sijui nnagundu kila ninapokwenda My
Sipendwi maumivu pekee ndo ninachoambulia
Tena namba yako sijafuta usisite kunipigia
Uuuh nitapokea Uuuh tutaongea
Aiiii ila story za mapenzi usije kuniletea
Uuunh nitachukia uuh nitakukatia
Maana maumivu
Nilichokaga mwenzio
Uuuh nilichokaga mwenzio
Hata ulivyoniacha nikaachwa tena
Nilichokaga mwenzio
Uuuh nilichokaga mwenzio
Hello
Haya mapenzi siwezi
Ikitokea msalaba sitobeba aanh
Mapenzi siwezi
Ikitokea ni pengo sitoziba
Maana
Mlango wa mapenzi sikugongea wenyeji
Nilivamia
Nashukuru Mungu sikudondokea ulevi
Ningepotea
Ninatangatanga kama kuku wa kienyeji
Alokosa njia
Hata nilokua naye nae alikua na baby
Iiih
Tena namba yako sijafuta usisite kunipigia
Uuuh nitapokea Uuuh tutaongea
Aiiii ila story za mapenzi usije kuniletea
Uuunh nitachukia uuh nitakukatia
Maana maumivu
Nilichokaga mwenzio
Uuuh nilichokaga mwenzio
Hata ulivyoniacha nikaachwa tena
Nilichokaga mwenzio
Uuuh nilichokaga mwenzio
Written by: ALISTIDES HERMAN
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...