album cover
Ufala
109
Music
Ufala was released on July 25, 2025 by Chamazi Music as a part of the album Ufala - Single
album cover
Release DateJuly 25, 2025
LabelChamazi Music
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM141

Credits

PERFORMING ARTISTS
Munta Dee
Munta Dee
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mutawaly hamdani saidi
Mutawaly hamdani saidi
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Adasco M2 M'bad
Adasco M2 M'bad
Producer

Lyrics

Adasco M2 mbaya
Uo ufala wa kukupenda
Tena mimi sina
Nishaachana na wengi
Itakuwa wewe kimaa
Tena nikikuona najiona fala
Kulaaanina
Ndio mimi nilikuwa nalia
Kisa wewe kweli ufala
Ulikuwa utoto
Sasa hivi nishakuwa my
Ule kweli ulikuwa utoto
Asaivi nishavuka my
Ah, ulikuwa utoto
Sasa hivi nishakuwa my
Ule kweli ulikuwa utoto
Asaivi nishavuka my
Mi sio Tozzy wewe
Saivi na vitu vyangu
Embu toka nipishe, sio type yangu
Uliniona wa nini
Nishapata wakunipenda
Penzi kutwa utemi
Uogopwe, umekuwa defender
Mwenzako napewa kitu
Roho yangu inapenda
Changu chake changu
Chake chake pembaa
Ulikuwa utoto
Sasa hivi nishakuwa my
Ule kweli ulikuwa utoto
Asaivi nishavuka my
Ah, ulikuwa utoto
Sasa hivi nishakuwa my
Ule kweli ulikuwa utoto
Asaivi nishavuka my
Written by: Mutawaly hamdani saidi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...