album cover
Wayaa
Music
Wayaa was released on February 16, 2018 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Wayaa - Single
album cover
Release DateFebruary 16, 2018
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
CPWAA
CPWAA
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Composer
Ilunga Khalifa (Cpwaa)
Ilunga Khalifa (Cpwaa)
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Producer

Lyrics

Haya sasa twende kina Rashida, Habiba, Wahida
Ni shida mwiba
Kumbuka Aisha Aisha alinihangaisha ngaisha
Usiku sikulala mi nilihangaika hangaika
Nilimpenda sana akanibabaisha baisha
Nilitaka funga nae pingu za maisha
Kaja Regina **
Unakumbuka kina Tina na Phina
Niliwaacha kwasababu ya fitina
Suma kamenya chungwa nikamkosa Amina
Walisema sitoweza tena
Walisema sitorudi tena
Walisema sitoweza tena
Walisema sitorudi tena
Hao hao
Hao aibu yao
Hao hao
Hao aibu yao
Waya waya
Waya waya
Chapa nao
Waya waya
Waya waya
Chapa nao
Mpaka chini mpaka chini mpaka chini mpaka chini we cheza
Chapa nao
Mpaka chini mpaka chini mpaka chini mpaka chini we cheza
Chapa nao
Shakira Shakira madira achana na madume suruali
Njoo hapa tuponde mali
Nitakununulia kidoti hair na ka IST ka kutembelea
Twende beach kuogelea
Shakira Shakira madira achana na madume suruali
Njoo hapa tuponde mali
Nitakununulia kidoti hair na ka IST ka kutembelea
Twende beach kuogelea
Walisema sitoweza tena
Walisemasitorudi tena
Walisema sitoweza tena
Walisema sitorudi tena
Hao hao
Hao aibu yao
Hao hao
Hao aibu yao
Waya waya
Waya waya
Chapa nao
Waya waya
Waya waya
Chapa nao
Mpaka chini mpaka chini mpaka chini mpaka chini we cheza
Chapa nao
Mpaka chini mpaka chini mpaka chini mpaka chini we cheza
Chapa nao
Written by: Ilunga Khalifa (Cpwaa), Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...