album cover
Byee Byee
album cover
Byee Byee was released on November 12, 2004 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Pamba Nyepesi
ReleasedNovember 12, 2004
LabelSony Music Entertainment East Africa
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kucheee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kuchee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kucheee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kuchee
Umewadia wakati namuda muafaka watu kujivinjari
Kando za fukwe kijua cha mbali watu wana relax biere tungi kinde bwii bwax
Warembo ndani ya nguo laini
Pedo swimming costume bikini
Ma makeup shedo poda lipshine
Watu wanang’ara kwa style smile wananukia unyunyu mkali
Hakuna ubaguzi wa rika umri wala rangi
Wanajimix mix *** na madingi
Yani ni Sama ndani ya santuri **
Wengine wamekuja na familia wapate uhondo kushuhudia
Watoto wa uswazi, mageti kali mpaka ma house girl wote wame be free
Sekta ya maakuli Gadner G usiulize jibu tulia tuli
Misosi ya ku roast bite bite popcord samosa mpaka sausage
Mambo ya pizza na porridge
Watoto na *** wenye soda, ice cream juice, vyuwisi, **
Wakubwa ruksa biere, champagne, whiskey, wine legency mo shine
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kucheee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kuchee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kucheee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kuchee
Hili ni summer kipindi cha kiangazi
Michorogoto pesa mifuko iwe wazi
Na sio blue blue tena ni wekundu wa msimbazi
Tunakwenda ngazi kwa ngazi
Kama uko peace kalia jahazi piga kasia mpaka Dar uone watu wanavyomwaga radhi
Mabrother kwa pamba usiombe
Mashawty akwaa akwaa akwaa usikonde
Migongo wazi bikini juu ya paja migongo nje
Watu wako Da, da, dar new york ndogo acha wavunje
Yani ni raha mustarehe
Parking zimejaa mikoko kitere
Hakuna ghasia hapana beba jambia kama uko na totoz ruksa nenda bambia
Hahhaaa
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kucheee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kuchee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kucheee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kuchee
Kama unacheza dansi debe we mpaka kiza
Kama masanga basi kita bila kukatiza
Kama ni kula njoo ushindane we kula pizza
Yani burudani tele zilopitiliza
Wengine kwenye soga table tennis pool table mpaka ***
Ruksa hata kuruka ruka aah ahh
Kwenye jukwaa kumepambwa na Inspektah
Kwenye jukwaa kumepambwa na Inspektah
Kwenye jukwaa kumepambwa na Inspektah
Kwenye jukwaa kumepambwa na Inspektah
Hahahaha
Niite babu Inspektah haroun
Oh yeaah
** wa Zenji kijiwe
Ndani ya mwenge foma camp yo
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kucheee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kuchee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kucheee
Yani ni byee byee yetetete
Ruka dansi debe mpaka kuchee
Written by: Haroun Rashidi Kahena (Inspector Haroun), Paul Matthysse (P-Funk Majani)

Loading...