album cover
Kwanini
Music
Kwanini was released on July 10, 2009 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Kwanini - Single
album cover
Release DateJuly 10, 2009
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM196

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mandojo & Domokaya
Mandojo & Domokaya
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Composer
Precious Juma Nkoma (Mandojo)
Precious Juma Nkoma (Mandojo)
Lyrics
Joseph Francis Michael (Domokaya)
Joseph Francis Michael (Domokaya)
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Producer

Lyrics

Heeeh
Mapenzi yana visa
Mapenzi yana visa
Kwanini wewe unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Kwanini wewe unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Ilim** kukuwaza waza ila hakuwazi na kuwaza
Alishindwa kukubembeleza mapenzi yale ya kulizwa lizwa
Mamaa
Unajipendekeza kwake na hakufai
Na ulivyo we mama unakubali kupigwa pigwa
Au kwakuwa amekuoa na katoa mahari kubwa
Mamaa
Unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Anakuuliza unasingiziwa anakataa anakuumiza
Unasingiziwa unakataa anakuumiza
Unasingiziwa unakataa anakuumiza
Kwanini wewe unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Kwanini wewe unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Unateswa ka uko jela
Unafungiwa kwa nje
Anasisitiza hauna sera anatamani akuchinje
Mishale yake kurudi ni usiku mwingi
Ni saa nane juu ya alama
Na yuko chakari ni mingumi na mateke na mlango anagombana
Fungua Fungua mamaa
Fungua fungua mamaa
Ona anakutukana kipigo zaidi ya jana
Kesho tena atakutukana
Umefanya uamuzi vema kutozaa nae angekuharibia maisha
Hata hivyo bado unaweza mkataa skia mama
Umefanya uamuzi vema kutozaa nae angekuharibia maisha
Hata hivyo bado unaweza mkataa skia mama
Umefanya uamuzi vema kutozaa nae angekuharibia maisha
Kwanini wewe unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Kwanini wewe unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Mapenzi yanaumiza
Kwanini unaumia
Iweje mpenzi wako akudharau wewe
Kwanini wewe unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Kwanini wewe unajipendekeza kwake na hakufai
Mamaa
Oouu
Mamaa
Na hakufai
Written by: Joseph Francis Michael (Domokaya), Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani), Precious Juma Nkoma (Mandojo)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...