album cover
Mawazo
album cover
Mawazo was released on September 17, 2004 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Mawazo ya Jay Moe
ReleasedSeptember 17, 2004
LabelSony Music Entertainment East Africa
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Mawazo!
Ya Jay Moe
Techniques
Flavor
‘78 nilizaliwa ndani ya hospital ya Hindu Mandal
27 November ishikeni vizuri
Na ni vizuri ujue wapi nitokapo
Huwezi sema unanijua shauri ya hapa nilipo
Asante Mungu, Baba
Mama angu marehemu namuomba Mungu ailaze roho yake pema peponi
Miaka sita sasa tangu kuondoka
Akiwa na miaka 6 kama mtalaka
Mwalimu wa walimu Jamhuri mpaka forodhani
‘95 ndo mwaka alioondoka duniani
Baada ya kuugua sana mpaka siku ya mwisho
Ugonjwa haujulikani dokta anazidi vuja jasho
Maisha ya kuishi na mama ***
Kutoka ‘90 mpaka mwanzo wa mwaka 2000
Mtoto wa mama mpaka anaanza vuta bangi
Mtoto wa mama mpaka anakuja kuwa adui wa dingi
Kwasababu nilimkatalia kujiunga jeshi
Eti kama sitaki nitajijua mwenyewe basi
Usione bure Jaymoe kuitwa mawazo
Nimekata mnyororo nimevitatua vikwazo
(Jay Moe)
Mtu wa mwisho ukweli nawapasheni habari nilipotoka
(Mawazo)
Watu hawaishiwi maswali mbona siendeshi gari wanaona sina akili
(Jay Moe)
Mtu wa mwisho ukweli nawapasheni habari nilipotoka
(Mawazo)
Watu ** mbona siendeshi gari wanaona sina akili
Mambo ya muziki nilianza toka zamani
Shukrani mjomba othmani ** tangu utotoni
Bila wewe nisingejua muziki nini
Leo unanifanya niweze peleka tonge mdomoni
Toka form one uliza rapper utaambiwa Juma mchops
Bila shaka shule nzima wali***
Wa bweni moja usiku walikua hawalali
Mi na** mistari kuonesha nani ni mkali
‘95 tukawa washindi wa tatu wa mkoa
Kingereza kilituangusha wengi wanaongea
Basi O’level ikaisha nikarudi Dar es salama
Nikaingia ** nikaendelea na kusoma
Talent show ya mwaka 2000 hatukushinda bure
Bila ** tungeunda vipi wateule
*** na Solo ** zilikua poa
Kilichotuangusha kila mtu alikua anajua
Mimi mwenyewe tu toka enzi za majukumu
Siogopi ukweli Mungu pekee ndo atanihukumu
Kwahiyo sijiiti bure mawazo
Minyororo imeanguka nimevishinda vikwazo
(Jay Moe)
Mtu wa mwisho ukweli nawapasheni habari nilipotoka
(Mawazo)
Watu ** mbona siendeshi gari wanaona sina akili
(Jay Moe)
Mtu wa mwisho ukweli nawapasheni habarinilipotoka
(Mawazo)
Watu hawaishiwi maswali mbona siendeshi gari wanaona sina akili
Rap leo imekua kama siasa
Kwenye vichwa vya mashabiki watu wanachotaka pesa
Kama una rap upate nyapu shauri yako
Mi nalala nakuamka popote kwenye mshiko
Shida yamuziki hata kama unakua huzitaki
Kila siku adui anakua miongoni mwa rafiki
Niulize mimi kwenye ulimwengu ndio mama
Walinitia kafara wakidhani ningekwama
Mimi nataka demu ye na mabinti damu damu
Kitumbo changu aliona kiingiliwe na sumu
Bahati mbaya ikafika mpaka kwa ma distributer
Album alisambaza miezi miwili ishapita
Nyumbani baba nae aling’ang’ania kuuza nyumba
Eti amechoka kuishi mjini anataka arudi shamba
Simlaumu ila future zetu ameziharibu
Tutaishi vipi anatuuzia nyumba bila sababu
Sista kaolewa miezi sita mumewe kafa
Bahati mbaya sista Mungu atakufanyia maarifa
Ambao mnajiita Jay Moe hamuwezi kuwa mimi
Wala sihitaji maelezo hamuwezi kuwa mimi
(Jay Moe)
Mtu wa mwisho ukweli nawapasheni habari nilipotoka
(Mawazo)
Watu hawaishiwimaswali mbona siendeshi gari wanaona sina akili
(Jay Moe)
Mtu wa mwisho ukweli nawapasheni habari nilipotoka
(Mawazo)
Watu ** mbona siendeshi gari wanaona sina akili
Hahaa
Watu wanaona mtoto wa mama
Jay moe
Mi sio mtoto wa mama mi sio bishoo
Sio kwasababu nimeimba bishoo ndo uone mi bishoo
Mi nna shida
Mi maskini kama watu wengine
Mi familia yangu haiishi vizuri naishi kama watu wengine
Watu wengine wananistop mimi nisile wananinyima mimi wanachukua tonge mdomoni mwangu
Kwa sababu mi mnyonge au kwasbabau mi nani?
Sawa haina noma
Kwa sababu mi mawazo
Written by: Juma Mohamed Mchopanga (Jay Moe), Shakii Akwabi (Shakii)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...