album cover
Tutoke
5
Music
Tutoke was released on February 18, 2005 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Ndio Zetu
album cover
Release DateFebruary 18, 2005
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM99

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tmk Wanaume
Tmk Wanaume
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tmk Wanaume
Tmk Wanaume
Lyrics
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Composer
Juma Ally Kassim
Juma Ally Kassim
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Producer

Lyrics

Mpenzi wangu nakupenda
Nimeamua tuishi pamoja sasa
Hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini sintokuacha
Mpenzi wangu nakupenda
Nimeamua tuishi pamoja sasa
Hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini si ntokuacha
Tutoke
Oh mpenzi wangu tutoke
(Wikiendi imeshafika)
Tutoke
Oh usiku wa leo tutoke
(Toka na mapozi ya ki afrika)
Tutoke Oh mpenzi wangu tutoke
(Wikiendi imeshafika)
Tutoke
Oh usiku wa leo tutoke
(Toka na mapozi ya ki afrika)
Hii dunia kama tufe, haifanani na kanda mbili
Kwani kilaaina viumbe wawili wawili
Duniani ndo kifaa changu chenye akili
Yaani we ndo mpenzi wangu wa kunistiri
Nnapokukosa silali, chakula sili, nakuwaza wewe
Nakuomba mchumba wangu unielewe, nikuonapo naishi kwenye jangwa la mahaba
Nakupenda kama nnavyo mpеnda mama au baba
Sitaki majaba
Mrembo wangu na ku mind, toka unacheza mdaku
Hujui ushakunaku, wala uchangu
Namind uwe mama mwanangu ndani ya nyumba
Usawa huu naogopa ** usijе nikumba
Naamini mchumba, hakuna mwingine
Hatakama sina mapene wacha waseme
Mpenzi wangu nakupenda
Nimeamua tuishi pamoja sasa
Hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini sintokuacha
Mpenzi wangu nakupenda
Nimeamua tuishi pamoja sasa
Hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini si ntokuacha
Tutoke
Oh mpenzi wangu tutoke
(Wikiendi imeshafika)
Tutoke
Oh usiku wa leo tutoke
(Toka na mapozi ya ki afrika)
Tutoke Oh mpenzi wangu tutoke
(Wikiendi imeshafika)
Tutoke
Oh usiku wa leo tutoke
(Toka na mapozi ya ki afrika)
Tutoke mpenzi, tutoke lazizi
We vaa chochote kile unachokitaka
Leo siku ya wikiendi, watu kama sisi haswa wapendanao tunakwenda ku-spend
Popote pale hata pakiwa ufukweni, tukakonge nyoyo zetu kwa juisi ya apple hata na passion
(Eeehn)
Wapo wanochukia wanaona hii nafasi, kama una ichezea
Wanataka wajewao hawakuwezi mtoto, kwanza hawana mvuto
Usiwajali hayo wasemayo, maisha yao kutwa kusema ya wenzao
Hawana dira, wala hawana taswira
Wewe wangu pekee, sema kitu utakacho
Joto nikupepee
We sema bila kificho nimempenda na yeye kanipenda
Sio kwa ajili ya jina wala u’handsome, sura yenyewe hapa hakuna ni upendo tu, uaminifu tu
Ndo linajenga pendo letu acheni tutoke
Hii ndo raha jamani ya kuwa na mke
Akati anatamba, njia nzima nakula rimba
Eeeh Si nna kifaa
Mpenzi wangu nakupenda
Nimeamua tuishi pamoja sasa
Hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini sintokuacha
Mpenzi wangu nakupenda
Nimeamua tuishi pamoja sasa
Hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini si ntokuacha
Tutoke
Oh mpenzi wangu tutoke
(Wikiendi imeshafika)
Tutoke
Oh usiku wa leotutoke
(Toka na mapozi ya ki afrika)
Tutoke Oh mpenzi wangu tutoke
(Wikiendi imeshafika)
Tutoke
Oh usiku wa leo tutoke
(Toka na mapozi ya ki afrika)
Umeshani elewa nakupenda honey (Honey!)
Nnachotaka sasa kukuweka ndani (Ndani!)
Ili kachaa nipate penzi maridadi
Wewe na mimi tu mapenzi yetu wasiingilie mtu
Usifate ya watu mpenzi, watu wabaya daima
Ndio walio sababisha kaekewa Yesu miba
Watasiriba, wataniharibia
Ingia kwenye gari mpenzi tukanywe bia
Usiulize mshiko tumpitie mkubwa Fella pamoja na Tito
Wapendanao hujivinjari mwisho wa wiki, basi twende klabu tukacheze muziki
Tukajivinjari tuisahau dhiki, milele na milele
Mungu atubariki
Mpenzi wangu nakupenda
Nimeamua tuishi pamoja sasa
Hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini sintokuacha
Mpenzi wangu nakupenda
Nimeamua tuishi pamoja sasa
Hata wakisema eti mimi nakuzingua lakini si ntokuacha
Tutoke
Oh mpenzi wangu tutoke
(Wikiendi imeshafika)
Tutoke
Oh usiku wa leo tutoke
(Toka na mapozi ya ki afrika)
Tutoke Oh mpenzi wangu tutoke
(Wikiendi imeshafika)
Tutoke
Oh usiku wa leo tutoke
(Toka na mapozi ya ki afrika)
Written by: Juma Ally Kassim, Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani), Tmk Wanaume
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...