album cover
Tugende
album cover
Tugende was released on November 21, 2025 by Igloo Entertainment Agency Limited / EMPIRE as a part of the album Itaré
AlbumItaré
ReleasedNovember 21, 2025
LanguageEnglish
BPM109
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Aye aye mama aye
Nimejikaza mimi kaza mimi akanima
Akaniacha mazima
We mama hizo pirika haziishigi mama
Ama nitamaa zinakufanya wanikana
Kutwa kucha kucha unapelekwa Dubai mama
Japo inaniuma uma ila mi sijawihigi sema
Nikikumbuka fursa nilizompaga yeye yani majanga
Siwezi jiroga nikarudiana na yeye kwa hizi mbanga
Sa waniona sifahi kisa sina michele ya kukuhonga
Sipati picha ukiniona nishapata mwingine alafu ndo unavimba
[PreChorus]
Moyo mi nilimpa Tiffa akauchinja chinja
Kesho mimi nakata na visa
Yani nilishashindwa
Moyo mi nilimpa Tiffa akauchinja chinja
Kesho mimi nakata na visa
Yani nilishashindwa
[Chorus]
Weka tugende weka tuge
Mpaka morning weka tugende
Weka tugende weka tuge
We dj weka tugende
Weka tugende weka tuge
Mpaka morning weka tugende
Weka tugende weka tuge
We dj weka tugende
[Verse 2]
Yamee si yamenishinda mi mama
Je ingekua we ungeweza vumilia hii mama
Kwanza mapenzi leo nimeyatema
Sitaki tena nimeyasusa
Kwanza napanga mi agenda
Nipate hela ukome kunitupa eh bana
[PreChorus]
Moyo mi nilimpa Tiffa akauchinja chinja
Kesho mimi nakata na visa
Yani nilishashindwa
Moyo mi nilimpa Tiffa akauchinja chinja
Kesho mimi nakata na visa
Yani nilishashindwa
[Chorus]
Weka tugende weka tuge
Mpaka morning weka tugende
Weka tugende weka tuge
We dj weka tugende
Weka tugende weka tuge
Mpaka morning weka tugende
Weka tugende weka tuge
We dj weka tugende
[Outro]
We hatulali we
Kama ni noma na iwe noma
Written by: Fred John Okong'o, Itare Milton Nyerere, Justis Edward Mwandu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...