album cover
Niambie
album cover
Niambie was released on August 1, 2025 by Kassu Music as a part of the album Niambie - Single
August 1, 2025
LabelKassu Music
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Kassu
Ah Ah Eeeyaahh (Niambie)
Ah Eeeyah (Niambie)
Ah Ah Eeeyaahh (Niambie)
Ah Eeeyah
Mi niko tayari Clinic kuongozana
Mi kama kijana bora inawezekana
Kushiriki Afya ya Uzazi
Nianze leo kama mzazi
Kujiepusha na ngono
Ndoa za utoto kwa umri mdogo (Inawezekana)
Na kupata elimu ya Afya ya Uzazi
Na tuache dhana potofu
Kwamba wanawake ndo wanaweza shiriki (pekee)
Afya ya Uzazi, hata wanaume tunaweza shiriki
Na tuache dhana potofu
Kwamba wanawake ndo wanaweza shiriki Afya ya Uzazi
Hata wanaume tunaweza shiriki
Sasa
Jikubali pata elimu ya Afya ya Uzazi
Amua leo anza sasa kama kijana (jikubali) inawezekana
Heyy yeee iyyyee yeee lele
Written by: Kassumpa Machati, Rajabu Rajabu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...