album cover
Melanini
45
Music
Melanini was released on August 8, 2025 by Sushiraw as a part of the album Melanini - Single
album cover
Release DateAugust 8, 2025
LabelSushiraw
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM111

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zeyna Umoja
Zeyna Umoja
Vocals
MJ Wemoto
MJ Wemoto
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Edward Mokolo
Edward Mokolo
Songwriter
Tafadzwa Rodney Majaya
Tafadzwa Rodney Majaya
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
MJ Wemoto
MJ Wemoto
Producer
Kaysha
Kaysha
Producer

Lyrics

Melanini… melanini…
Nguvu ya usiku…
Mwanga wa giza…
Ngozi yangu si kivuli
Ni hadithi ya miujiza
Jua linapokataa
Mimi bado naaangaza
Polepole na mwendo
Silaha ni utulivu
Hawatashika mwanga huu
Ni wangu, wa asili
Melanini, melanini
Mimi ni dhahabu ya usiku
Melanini, melanini
Ngozi ni baraka toka juu
(mmmh… eeeh… melanini…)
Mi na waka kimya… lakini na waka…
Wanaona mwanga, siwezi kuficha…
Machoni mwao ni fumbo
Lakini ndani ni wazi
Silika ni neno,
Tunaimba kwa kimya
Nyeusi kama mawingu
Lakini ndani ni nyota
Na kila tone la ngozi
Ni kumbukumbu ya mbingu
Melanini, melanini
Mimi ni dhahabu ya usiku
Melanini, melanini
Ngozi ni baraka toka juu
Melanini, melanini
Mimi ni dhahabu ya usiku
Melanini, melanini
Ngozi ni baraka toka juu
Melanini, melanini
Mimi ni dhahabu ya usiku
Melanini, melanini
Ngozi ni baraka toka juu
Melanini… melanini…
Nguvu ya usiku…
Mwanga wa giza…
Written by: Edward Mokolo, Tafadzwa Rodney Majaya
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...