album cover
Tembea
album cover
Tembea was released on July 27, 2025 by Koppa Gekon as a part of the album Tembea - Single
ReleasedJuly 27, 2025
LabelKoppa Gekon
BPM86
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Peke yangu siwezi
 Usiniwache peke yangu
 Itapotea maates ni wengi
 Wanataka tu kuona nikia nguka
 Usiniwache kana mi
 Tembea na mimi yesu
 Peke yangu siwezi
 Maisha yangu bila wewe
 Nitakuwa na jidanganya
 Maisha yangu bila wewe
 Ni usiku magiza
 Maisha yangu bila wewe
 Nitakuwa na jidanganya
 Tembea na mimi yesu
 Peke yangu siwezi
 Tembea na mimi yesu
 Peke yangu siwezi
 Peke yangu siwezi
Written by: KEFA GEKONE NYANYUKI

Loading...