album cover
Finyo
14,551
Hip-Hop/Rap
Finyo was released on November 29, 2018 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Finyo - Single
album cover
Release DateNovember 29, 2018
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM87

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nyashinski
Nyashinski
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Cedric Kadenyi
Cedric Kadenyi
Composer
Nyamari Ongegu
Nyamari Ongegu
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Cedric Kadenyi
Cedric Kadenyi
Producer

Lyrics

[Intro]
Hodi kwa mama mtoto mkorofi
Acha nikuambie ka una-try kuona machozi
Ya mtoto mchokozi
Itabidi uongeze pilipili kwa biriani
[Intro]
Otherwise, ka si hivyo wanachama hatuliangi
Hatutulianga
Na ndukulu ni bangi
Na ina harufu mbaya na
[Intro]
Na inaudhi majirani
Lakini haidhuru ni sawa
Acha wahamie mashinani
Ka inawadhuru vibaya
[Verse 1]
Zinatubastia ka bomb bomb kwa corner
Mi na squadi iko chrome
Na macon men na wakora
Wana Diploma zakufungualisha Grogon ma Corolla
[Verse 2]
The Boredom mnasorora
Vile hamna Talent,so mmegeuza game Sodom na Gomora
[Verse 3]
Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako
Vuta hiyo mini chini unamwaibisha mamako
Ka unatafuta ule anajua kupika uji, sio kupiga picha uchi
Unfollow nyako follow nyanyako
[Verse 4]
Ukitaka nyama hapa sawa chief
Hii butchery tunaita 'Usiwahi blunder na beef'
Na si huangalia ni ka skanga
Bonga shit unatandikwa ka, kitambaa, bedcover ama handkerchief
[Refrain]
If your God is money
Then you're poor to me
I have a feeling
You are not who you pretend to be on IG
[PreChorus]
Kutoka nursery
I have been a winner
Msiniweke gasoline
Na bado hamjazima moto niliwasha '03
[Chorus]
Na kam na (Finyo)
Macho macho (Finyo)
Ndivyo tuna (Finyo)
Pasito na (Finyo)
Mwendo tuna (Finyo)
Mwenye tuna (Finyo sana)
[Verse 5]
Be ready for the world
Is it ready for you?
You waiting for your girl
Is she waiting for you?
[Verse 6]
Uliskia type yako hu like mabachelors
Sijui kama ni true
IG bae ni yule carpenter
I feel ka ni true
[Verse 7]
Ah-ah ni reasoning si umang'aa
Ujinga ndo si hukataa
Sacrifice ni kuifanya for family sio chapaaa
Greatness ni kuamkia legacy sio chapaa
Siwezi kuwa juu ya thao
Ka kwangu thao sio chapaa
[Verse 8]
My apartment is in Amsterdam, certified Rasta man
Aki sometime na hang, I feel like Am Sadam
I feel like am the best, me kumake Man impress (Zii)
Kufake Hapiness (Zii) Me ni m merciless
[Verse 9]
Am ill na nitawatesa until mkubali kesi
Ka sitaku impress na skill ni pamba freshi
Ukidai tuingie commercial still nakuwanga messy
Prepare kuingia kwa battle field na mwanajeshi
[Verse 10]
Hii ndo inaitwa one shot kill na feelingi fiti
Nikiwamada ki action film na-believe hii muziki itanibuyia mansion still
Lakini giti
[Refrain]
If your God is money
Then you're poor to me
I have a feeling
You are not who you pretend to be on IG
[PreChorus]
Kutoka nursery
I have been a winner
Msiniweke gasoline
Na bado hamjazima moto niliwasha '03
[Chorus]
Na kam na (Finyo)
Macho macho (Finyo)
Ndivyo tuna (Finyo)
Pasito na (Finyo)
Mwendo tuna (Finyo)
Mwenye tuna (Finyo sana)
[Bridge]
Mwanaume aseme hii shamba siwezi lima, nakam na plough mbili
Hiyo ingine ni ya finyo pekee (Hahaha)
Niko na issue ikiwa juu yangu ka si kofia
Kwa ma issue za vitabu za historia
[Verse 11]
Jina yangu watoi wako wataisoma pia
Ata ka utadedi ukisema hukuwahi niskia
Nishakuskia kila year ukilia utarun next year
Si this Year pia ilianza ukilia "Walai this year!"
Next year nitakuhit niko high ju niko hai this year
Sitakuwa Hai next year ka nitakuwa high next year
[Verse 12]
Excuse, excuse me!
Please sorry thank you!
Mission imposibble!
Kifo ni ngori jo!
[Verse 13]
Na isikupate ukitry too hard to be perfect
Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet
Smile ka bado hujapita budget
Na ka umepita ficha shida chini ya carpet
[Verse 14]
Inapiga! Inapiga! kushinda earthquake
Inapiga! Inapiga! kushinda earthquake
Watu na race nao wameshindwa kushusha handbrake
Uhunye na Rao wamepiga handshake!
Written by: Cedric Kadenyi, Nyamari Ongegu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...