album cover
KAWARM
album cover
KAWARM was released on August 21, 2025 by angrypanda inc. as a part of the album KAWARM - Single
August 21, 2025
Labelangrypanda inc.
LanguageEnglish
BPM99
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Check Check
Chuu chuuu
Aaahhhhaaaaa
Yoh Yoh
Angry Panda Under Mickey
Ka ka ka ka ka ka kawarm
Ka ka ka ka ka ka kawarm
Ka ka kawarm
Ka ka kawarm
Ka ka ka ka ka ka kawarm
Ahh unajua nani the goat
Ukituonyesha kabaridi tunakuonyesha kawarm kawarm Ka aahh
Wanajua si ndio ma goat
Ukituonyesha kabaridy tunakuonyesha ka warm
Ahhhh
Noma noma kijana stoner stoner
Unashindana na si na tuko warmup warmup
Si siri lakini mbogi ime vunja vunja
Tungekuja lakini ni kwa huruma ruma
Jina imevuma sa imefanya wame buya
Buyaka buyaka ah Tusha washtua
Si mnatujua vako zetu uwaga sure
King kong nikijipiga kifua ahh
Wakituona wanaulizana a who dat
Wengi wanashangaaa wanauliza how you do dat
Si tume chill tuko zile za awho dis
Tumetoka riko tumejipin ma goodies
Aaaiiiii
Ahh unajua nani the goat
Ukituonyesha kabaridi tunakuonyesha kawarm kawarm Ka aahh
Wanajua si ndio ma goat
Ukituonyesha kabaridy tunakuonyesha ka warm
Ahhhhh
Ahh unajua nani the goat
Ukituonyesha kabaridi tunakuonyesha kawarm kawarm Ka aahh
Wanajua si ndio ma goat
Ukituonyesha kabaridy tunakuonyesha ka warm
Ahhh
Pull up selekta
Siunajua ni panda inatetemesha apparatus
Kaniku chase wacha nikimbize paper
Hater ananicheki amekua spectator
Badilisha hio tempo
Chunisha kinanda songa ka upepo
Mpeleke na rada ye ukuwanga abebo
Kadogo kapoa anafwanana mobeto
Nika ni mtego
Meza imechafuka
Simba akinyeshewa usidhani hawezi toa makucha
Aaahhhhh
Zimetunice zimelipuka
Niongezee mvinyo nashuku zinashuka
Chuu chuuu
Ahh unajua nani the goat
Ukituonyesha kabaridi tunakuonyesha kawarm kawarm Ka aahh
Wanajua si ndio ma goat
Ukituonyesha kabaridy tunakuonyesha ka warm
Ahhh
Ahh unajua nani the goat
Ukituonyesha kabaridi tunakuonyesha kawarm kawarm Ka aahh
Wanajua si ndio ma goat
Ukituonyesha kabaridy tunakuonyesha ka warm
Ahhh
Aaaaahhhhhaaaaaa
Ka ka ka ka ka ka kawarm
Ka ka ka ka ka ka kawarm
Ka ka kawarm
Ka ka kawarm
Ka ka ka ka ka ka kawarm
Written by: EUGINE OMONDI OYOO, mark WANJIRU mungai
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...