album cover
Mama
1,653
Afro-Beat
Mama was released on August 30, 2025 by BOONGO as a part of the album Mama - Single
album cover
Release DateAugust 30, 2025
LabelBOONGO
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM123

Credits

PERFORMING ARTISTS
H Poul
H Poul
Bass Drum
COMPOSITION & LYRICS
Jackisoni Eliasi Kalamula
Jackisoni Eliasi Kalamula
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
H Poul
H Poul
Co-Producer

Lyrics

Nimezaliwa wa pekee
Kwa family
Nimebakiwa na mama
Kwa hii dunia
Baba kafariki kabula
Sija mjua
Mama kapararaise
Mwili kuachia
Ndugu majilan nzito
Kusimlia
Najihisi nina lana
Kwa hii dunia
Maana hata marafki
Kuni kimbia
Sina anae nifaliji
Nayo yapitia
Nateseka nalaumu hii dunia dunia
Mamaaa
Hatakama niadhabu imenilemeaa
Naumia
Yee Iyee Iyee Iyee
Woo Uwoo Uwoo Uwoo
Nibora heri tungelijega
Mambo ya kodi mama kaishiwa khanga
Kwangu kukicha nimajanga
Baba mwenyumba codi huja na panga
Hasara roho
Pesa makaratasi utu unazima
Naumia roho
Boss mwabino taa akizima
Naomba mora nisamehe
Radhi ambazo
Nazipata kwa mama
Mwili wake ni mkogeshe
Ona machozi
Ya mutiririka mama
Nimuvue nguo nimuvalishe
Aheeh
Achafuka mie nimsafishe
Aheeh
Chakula pia nimulishe
Hadi za ndani mie nimuvalishe
Nateseka nalaumu hii dunia dunia
Mamaaa
Hatakama niadhabu imenilemeaa
Naumia
Yee Iyee Iyee Iyee
Woo Uwoo Uwoo Uwoo
Nani atasaidiaaaaa
Oooh oooh oooh
Hiiii hiiii hiiii
Iyeee iyeeee
Oooh oooh oooh
Written by: Jackisoni Eliasi Kalamula
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...