album cover
Binadamu
113
Kizomba
Binadamu was released on September 5, 2025 by OgaObinna the Oga@DTop as a part of the album Binadamu - Single
album cover
Release DateSeptember 5, 2025
LabelOgaObinna the Oga@DTop
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM96

Credits

PERFORMING ARTISTS
OgaObinna The Oga@DTop
OgaObinna The Oga@DTop
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
OgaObinna The Oga@DTop
OgaObinna The Oga@DTop
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
OgaObinna The Oga@DTop
OgaObinna The Oga@DTop
Executive Producer

Lyrics

Obinna hukuwanga mwanaume?
Nataka kuadvise Oga
Obinna has a very, very dark heart,he is a very dark guy i dont like him.
Oga@DTop
Nimesemwa sana
Oga@DTop nimesengenywa sana,
Inabidi,inabidi,inanibidi niseme,
Inabidi,sinabudi, Inanibidi
Niimbe
Binadamu, binadamu wabaya.
Lakini Yesu ni nani.
Binadamu, binadamu na chuki
Lakini Yesu ni nani.
Binadamu, binadamu na wivu
Lakini Yesu ni nani.
Wanadamu, wamejaa unafiki
Lakini Yesu ni nani.
Yeye..Yesu ni nani.
Wowo.. Yesu ni nani.
Yeye..Yesu ni nani.
Wowo.. Yesu ni nani.
Upate pesa kidogo.
Wanakusengenya
Upate cheo kidogo
Wanakusengenya
Baraka ya watoto.
Bado wanakusengenya
Nunua gari kadogo
Pia Wanakusengenya
Wanadamu, wanadamu
Wamejawa na fitina
Wanadamu, wanadamu
Wamejawa na fitina
Wewe pambana tu na maisha yako
Usiskize binadamu
Wewe ng\'ang\'ana tu ka kazi yako
Usifuate binadamu
Kazana, kazana Aha
Kwani Mungu sio Athumani
Ng\'ang\'ana, Ng\'ang\'ana Aha
Kwani Mungu sio binadamu
Binadamu, binadamu wabaya.
Lakini Yesu ni nani.
Binadamu, binadamu na chuki
Lakini Yesu ni nani.
Binadamu, binadamu na wivu
Lakini Yesu ni nani.
Wanadamu, wamejaa unafiki
Lakini Yesu ni nani.
Yeye.. Yesu ni nani.
Wowo..Yesu ni nani.
Yeye..Yesu ni nani.
Wowo..Yesu ni nani.
Kuna wakati uneyemwuita ndugu anakuuza kule Misiri
Anakubusu hadharani kumbe kesha- kuuza kwa siri.
Unadhani wanafurahi wanapocheka na kusmile - kumbe wanapanga maovu
Unadhani wanafurahi wanapocheka na kusmile - ila wanaficha kinyongo.
 
Ila mi - ninafeel , sina ubaya nao.
Nimeheal , nina Yesu anapingana nao.
Binadamu, binadamu wabaya.
Lakini Yesu ni nani.
Binadamu, binadamu na chuki
Lakini Yesu ni nani.
Binadamu, binadamu na wivu
Lakini Yesu ni nani.
Wanadamu, wamejaa unafiki
Lakini Yesu ni nani.
Yeye.. Yesu ni nani.
Wowo..Yesu ni nani.
Yeye..Yesu ni nani.
Wowo..Yesu ni nani.
Hivi kitambo nilikuwa nikifikiria eti ukiwa mtu mziri binadamu watakupenda.
doo..
Nakuambia hata ufanye nini, binadamu ni binadamu tu, wanafiki.
Unacheka nao, kumbe wanakupangia mabaya.
Unawapangia mema, na wanakupangia mabaya.
Lakini yesu ni nani.
Kama imendikwa ni yako ni yako.
Hata wafanye nini,
Hata waseme nini,
Hata waende wapi,
Kama imeandikwa ni yako, Mungu sio Athumani.
Written by: OgaObinna The Oga@DTop
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...