album cover
Mayai
album cover
Mayai was released on September 2, 2025 by Gekon254 as a part of the album Mayai - Single
September 2, 2025
LabelGekon254
BPM68
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Ya mungu ni mengi
 Ya kuku ni mayai
 Binadamu ni wale wale
 Awachoki kuuongea
 Ya mungu ni mengi
 Ya kuku ni mayai
 Binadamu ni wale wale
 Awachoki kuuongea
 Asanti ya punda ni mateke
 Uku dunyani lakini mbinguni
 Umejikati ya tiketi ya kuamteule
 Usichoke kutenda wema
 Usichoke kutenda wema
 Ukonataaji lako in heaven
 Ya mungu ni mengi
 Ya kuku ni mayai
 Binadamu ni wale wale
 Awachoki kuuongea
 Ya mungu ni mengi
 Ya kuku ni mayai
 Binadamu ni wale wale
 Awachoki kuuongea
 Wanasubiri uonke
 Wakuongele, wakuseme
 Wakutangez, batusifemoyo
 Mungu watazidi kukupigania
 Ya mungu ni mengi
 Ya kuku ni mayai
 Binadamu ni wale wale
 Awachoki kuuongea
 Ya mungu ni mengi
 Ya kuku ni mayai
 Binadamu ni wale wale
 Awachoki kuuongea
 Ya mungu ni mengi
 Ya kuku ni mayai
 Binadamu ni wale wale
 Awachoki kuuongea
 Ya mungu ni mengi
 Ya kuku ni mayai
 Binadamu ni wale wale
 Awachoki kuuongea
Written by: KEFA GEKONE NYANYUKI
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...