album cover
Sukari
album cover
Sukari was released on May 30, 2014 by CD RUN as a part of the album Sukari - Single
ReleasedMay 30, 2014
LabelCD RUN
LanguageEnglish
BPM134
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Chorus]
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
[Verse 1]
Nakubali mimi ni fakiri
Wengi wakufwata matajiri
Marubani na madaktari
Na malenga wenye mashairi
Wengi waja kwako kisiri
Mradi wanitie dosari
Jiepushe hao ni hatari
Wala hawatutakii mazuri
[Chorus]
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
[Verse 2]
Mapenzi wala sio mali
Usichoke kula huu ugali
Wako wanaokula wali
Wanaomba warudishe mali
Na kila siku si tukisali
Mwishowe tutakula asali
Mpenzi wangu we don't worry
Usisikize za watu story
[Chorus]
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
[Verse 3]
Mapenzi wala sio mali
Usichoke kula huu ugali
Wako wanaokula wali
Wanaomba warudishe mali
Na kila siku si tukisali
Mwishowe tutakula asali
Mpenzi wangu we don't worry
Usisikize za watu story
[Chorus]
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
[Outro]
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
Nakupenda kama sukari
Nakuambia kweli si siri
Ningekuwa mi ni tajiri
Ningekununulia gari
Written by: Juma Abdalla, Juma Tutu

Loading...