album cover
Far Away
album cover
Far Away was released on September 21, 2025 by 10382651 Records DK as a part of the album Far Away - Single
September 21, 2025
Label10382651 Records DK
BPM93
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Tukigombana tunapatana
Mungu Ndio shahidi
Tunapendana
Mapenzi sio digiri
Mapenzi sio vyeti
Sio muonekano pesa Nakadharika
Wengine sifikili
Na umeniteka hakili iii
Nisiwe mchoyo Nachokipata nitakupa a
Nashindwa kulalaa hata Kula
Nisipokuona nakonda a Yani nawaza
Sio masihara baby
Mapenzi
Nioneni sasa nimezama a
Nimezama baby
Hata tukigombana
Tunapatana
Mungu Ndio shahidi Tunapendana
Hata
Tuligombana
Tunapatana
Mungu Ndio shahidi Tunapendana
Asa usiende mbali na mi
Far away eeee
Far away
Usiende mbali
Far away eeeee
Far away
Usiende mbali
Fara away eee
Far away
Usiendeee
Far away eee
Far away
Instrumental
Naimbaga
Ba be bi bo bu
Mapenzi yananimaliza Baby
A chumbani beby
A e I o u
Mpenzi unanimaliza baby
Usiku nalazwa na dua
Alafu napewa vya kuteleza
Hivi nlikuaga wapi mie
Mswahili napewa vya Kingeleza
Kumbe Mapenzi Ndio hivi
Hizi raha sasa zimezidi
Na nanenepa
Napendwa
Napendwa
Hata tukigombana
Tunapatana
Mungu Ndio shahidi Tunapendana
Hata
Tuligombana
Tunapatana
Mungu Ndio shahidi Tunapendana
Asa usiende mbali na mi
Far away eeee
Far away
Usiende mbali
Far away eeeee
Far away
Usiende mbali
Fara away eee
Far away
Usiendeee
Far away eee
Far away
Instrumental
Written by: FABDY BARAKA MATHIAS
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...