album cover
Ananikomoa
album cover
Ananikomoa was released on September 30, 2025 by Simba immortality as a part of the album Ananikomoa - Single
September 30, 2025
LabelSimba immortality
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Alinipa Raha za utotoni nikajikuta mi kama sioni
ohh kama ndotoni mapenzi mapenzi leo yangu mimi nikipapasa pembeni simuoni haha simuoni ahhhaa
Mana alianza badilika tu
Alipo pata marafiki
Akaanza kunitangaza Kwa watu eti mi ninaziki amezichoka zangu ziki
Mtoto wa kiume napambana yeye ananichiti
Ahahaah mimi kwake mjenzi ananikomoa
Ahahaha nikijalibu lekebisha anabomoa
Ahahaha sijui anipendi ananikomoa
Ahahaha aeleweki aeleweki
Ves two
Namfananisha na chombo cha usafili kama boda boda
Anapakia zaidi ya wawili aha boda boda
Nanime mfumania zaidi ya mala mbili
Nikimuuliza anacheka cheka wanawake makatili
Kosa langu kosa langu kumuoneasha na mpenda
Kosa langu kosa langu kumuoneasha na mtaka mimi
Kosa langu kosa langu kumuoneasha namjali
Kosa langu kosa langu ameniacha peke yangu
Ahahaha mimi kwake mjenzi ananikomoa
Ahahaah nikijalibu lekebisha anabomoa
Ahahaah sijui anipendi ananikomoa
Ahahaah aeleweki aeleweki
Eya aeleweki ananikomoa komoa komoa ah mi najenga anabomoa aheleweki ah mimi najenga anabomoa we Simba we
Written by: Simba immortality

Loading...