album cover
Keki
album cover
Keki was released on November 7, 2025 by Freshly Baked Records as a part of the album Swakacha
November 7, 2025
LabelFreshly Baked Records
BPM119
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Imekuwa siku nyingi umenipa tamu,
Ndio maana mimi natabasamu
Imekuwa siku nyingi umenipa tamu,
Ndio maana mimi nakuita wangu
Imekuwa siku nyingi umenipa tamu,
Ndio maana mimi natabasamu
Imekuwa siku nyingi umenipa tamu,
Ndio maana mimi nakuita wangu
Ndio nakata keki, keki, keki,
Juu wewe ni keki, keki
Ndio nakata keki, keki, keki,
Juu wewe ni keki, keki
Kata keki, keki,
Juu wewe ni keki, keki
Ndio nakata keki, keki, keki,
Juu wewe ni keki, keki
I wanna show you off, show you off,
Mtaani,
I wanna show you off, show you off,
Nyumbani,
Ndio uniite honey, Monday to Sunday,
Hata bila money,
Ndio uniite honey, Monday to Sunday,
Tukiwa na money
Kata kata kata kata kata kata
Kata kata kata kata kata kata
Kata kata kata kata kata kata
Kata kata kata kata kata kata
Ndio uniite honey, Monday to Sunday,
Hata bila money
Ndio uniite honey, Monday to Sunday,
Hata bila money
Kata kata kata kata kata kata
Kata kata kata kata kata kata
Kata kata kata kata kata kata
Kata kata kata kata kata kata
I wanna show you off, show you off,
Mtaani,
I wanna show you off, show you off,
Nyumbani,
Ndio uniite honey, Monday to Sunday,
Hata bila money,
Ndio uniite honey, Monday to Sunday,
Tukiwa na money
Written by: Ali Dennis, Henry Ngugi, Nes Mburu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...