album cover
Tamu
album cover
00:00
00:05
00:20
00:30
00:40
00:50
01:05
01:30
01:35
01:40
02:00
00:00
02:22
Past 7 Days
Tamu was discovered most frequently at around 15 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Kwa majina ni Iyanii
Tunakujua
Ooh ooh waka waka waka
[Verse 1]
Nakula maisha na adabu naenjoy na wenzangu
Hapa tu ni burudani hakuna kuenda nyumbani
Nakula maisha na adabu naenjoy na wenzangu
Hapa tu ni burudani hakuna kuenda nyumbani
[Chorus]
Ayaa naskia fiti (Tamu)
Raha utamu (Tamu)
Naskia poa (Tamu)
Raha utamu (Tamu)
[Bridge]
Aaaah leo kwa simu sipatikani
Siendi nyumbani aah
Aaaah niko mteja sipatikani
Siendi nyumbani aah
[Chorus]
Naskia fiti (Tamu)
Raha utamu (Tamu)
Naskia poa (Tamu)
Raha utamu
[Verse 2]
I don't want no stress
Just happiness
Enjoy life to the fullest
With no regrets
I don't want no stress
Just happiness
Enjoy life to the fullest
With no regrets ayayayaya
Forever young
I wanna be forever young
Vile maisha ya ujana
Na mbogi yangu tukipatana
[Chorus]
Ayaa naskia fiti (Tamu)
Raha utamu (Tamu)
Naskia poa (Tamu)
Raha utamu (Tamu)
[Bridge]
Aaaah leo kwa simu sipatikani
Siendi nyumbani aah
Aaaah niko mteja sipatikani
Siendi nyumbani aah
[Chorus]
Naskia fiti (Tamu)
Raha utamu (Tamu)
Naskia poa (Tamu)
Raha utamu
Written by: Ian Oure Okwemba

Loading...