album cover
Wezi
2,402
Afrobeats
Wezi was released on November 13, 2025 by MEJAKUNTA as a part of the album Wezi - Single
album cover
Release DateNovember 13, 2025
LabelMEJAKUNTA
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM150

Credits

PERFORMING ARTISTS
Meja Kunta
Meja Kunta
Vocals
Lava Lava
Lava Lava
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Composer
Khalid Mwalami
Khalid Mwalami
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
VENTURE TZ
VENTURE TZ
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Mtume roho yangu wamekuja kwangu
Mtume roho yangu wapo ndani kwangu
Wezi washaingia ndani nitafanya nini
Washazama ndani nitafanya nini
Wezi washaingia ndani nitafanya nini
Washazama ndani nitafanya nini
Kama mmefuata pesa mnaweza chukua
Kama shida Tv subwoofer chukua
Kama mmefuata pesa mnaweza chukua
Kama shida Tv subwoofer chukua
Ila chonde roho yangu tu msije mkaniua
Ila chonde roho yangu jamani
[Chorus]
Hao hao waoneni wameingia
Hao hao wametuvamia
Hao hao waoneni wameingia
Hao hao wametuvamia
[Verse 2]
Police police police call 911
Wameshang'oa dirisha ivi sasa wako ndani
Police police police call 911
Wameshavunja milango wengine chumbani
Police police police call 911
Tunaomba msaada harakisha tuko matatani
Police police police call 911
Wanavyotutishatisha tutakufa jamani
Wanamarungu wanamapanga wametueka mtukati sina ujanja
Wanamarungu wanapanga wamechukua kabati pia namkwanja
Wanamarungu wanamapanga nakiona kiama nahisi nadanja
Wanamarungu wanamapanga wengine wamekuja na visu mtume roho yangu
Washaingia ndani ntafanya nini
Washazama ndani ntafanya nini
Wezi washaingia ndani ntafanya nini
Oya majirani mi ntafanya nini
Kama mnataka pesa wallet chukua
Kama mnataka simu laptop chukua
Kama mnataka na chaji pia chukua
Ila Chonde baby wangu jamani tutauwana
Mi nampenda baby baby baby
Mi namtaka baby baby baby
Mi namlavu baby baby baby
Mi nampenda wanakuja
[Chorus]
Hao hao waoneni wameingia
Hao hao wametuvamia
Hao hao waoneni wameingia
Hao hao wametuvamia
[Verse 3]
Vishandu hao vishandu hao vishandu (Usijisahau)
Vishandu hao vishandu hao vishandu (Usijisahau)
Vishandu hao vishandu hao vishandu (Usijisahau)
Vishandu hao vishandu hao vishandu (Usijisahau)
Wezi wa kukwapua usijisahau
Wakupita na simu usijisahau
Wezi wa fingerprint usijisahau
Wezi wa roba za mbao usijisahau
Written by: Khalid Mwalami, Lava Lava
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...