album cover
Nalia
album cover
Nalia was released on November 28, 2025 by Maureen Kunga as a part of the album Nalia - Single
ReleasedNovember 28, 2025
LabelMaureen Kunga
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Nilikuwa nyota yako mbalamwezi wako
Mighairi yangu ni miungu Eva na Adamu
Ningalipaa juu kipungu mbinguni sifikiri
Niambie tu wanipenda ingawa hukusudii
[PreChorus]
And I, I, I (Nilikuaminia, aibuni kanitia)
Why, why, why (Ukanitania, mwanaume ghasia)
Lie, lie, lie (Najuta mara mia, juu nilijiambia)
Cry (Sitawahi lia)
[Chorus]
Nipe kufuli roho nifunge
Machozi usiyaone nalia, nalia
Na mimi siwezi shindana nawe
Heri nisadikike nalia, you liar
[Verse 2]
Maji yako ya kifuu
Bahari yangu ya uchungu
Mara mia nikilia, nani atanisikia?
Nikazama nikapotea
Oh, ona vifusi vinaelea
[PreChorus]
And I, I, I (Nilikuaminia, aibuni kanitia)
Why, why, why (Ukanitania, mwanaume ghasia)
Lie, lie, lie (Najuta mara mia, juu nilijiambia)
Cry (Sitawahi lia)
[Chorus]
Nipe kufuli roho nifunge
Machozi usiyaone nalia, nalia
Na mimi siwezi shindana nawe
Heri nisadikike nalia, nalia
Nipe kufuli roho nifunge
Machozi usiyaone nalia, nalia
Mimi siwezi shindana nawe
Heri nisadikike nalia, nalia
Written by: Maureen Kunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...