album cover
Musa
1
Christian & Gospel
Musa was released on November 16, 2025 by SRC CHOIR as a part of the album Adui Zetu
album cover
Release DateNovember 16, 2025
LabelSRC CHOIR
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM81

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
SRC CHOIR
SRC CHOIR
Performer
HERNY SINKALA
HERNY SINKALA
First Violin
COMPOSITION & LYRICS
ERCSON MIDSON
ERCSON MIDSON
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
WILLISON MALIMA
WILLISON MALIMA
Mixing Engineer

Lyrics

Mussa mbona umetuleta janguani...x4
Ili tuangamie... x2
Au tuteketee...x2
Mbona farao ana tuandama tena....x2
Au unataka tufie janguani... x2
(Misiri tulikula nyama musa..
Mussa mbona umetuleta janguani ilituangamia
Au mussa umeteleta janguani ili tuteketee...x2)
(Mussa akawajibu watumishi wa Mungu
Mna hofu ya nini wasiwasi wa nini...x2)
(Mana hao wamisiri mnao waona leo
Hamta waona tena
Na uyo farao mnae muona leo
Hamta muona tena ..... x2)
Mna hofu ya nini wasiwasi wa nini....x2
(Mana adui zenu mnao waona hamta waonatena
Nanita fanya njia pasipo njia mkiniamini mimi....x2)
Mna hofu ya nini wasiwasi wa nini....x4
(Mana adui zenu mnao waona hamta waonatena
Nanita fanya njia pasipo njia mkiniamini mimi....x3)
........music..........
Mtetezi wangu yu hai natena bado ana ishi
Sitaogopa mabaya yajapo kuja juu yangu .... x2
Mana ninaye mtumikia mimi bado anaishi..x2
Mtetezi wako yu hai natena bado ana ishi
Sitaogopa mabaya yajapo kuja juu yako .... x2
Mana unaye mtumikia mimi bado anaishi..x2
Vita yangu si yangu
Vita yangu niya Bwana
Mimi nitanyamaza kimya ata nipigania mwenyewe
Mwenzenu Vita yangu si yangu mimi
Vita yangu niya dady oooh
Mimi nitanyamaza kimya ata nipigania mwenyewe
Mwenzenu sipiganagi mwenye ninapiganiwa na baba wambinguni
(Vita yangu si yangu
Vita yangu niya Bwana
Mimi nitanyamaza kimya ata nipigania mwenyewe....x2)
........music..........
Vita yangu si yangu
Vita yangu niya Bwana
Mimi nitanyamaza kimya ata nipigania mwenyewe......x4
Iyelelele .....x4
Vita yangu si yangu
Vita yangu niya Bwana
Mimi nitanyamaza kimya ata nipigania mwenyewe......x3
Vita yangu si yangu
Vita yangu niya Bwana
Mimi nitanyamaza kimya ata nipigania mwenyewe......
Written by: ERCSON MIDSON
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...