album cover

Tama

10,294World1991
album cover
Tama was released on January 8, 1991 by Universal Music Kenya Limited as a part of the album Essential East African Hits (Vol. 8)
ReleasedJanuary 8, 1991
LabelUniversal Music Kenya Limited
BPM114
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Sugar mamy Sugar mamy Sugar mamy...
Unihurumie baba yangu eeeh (eeeh)
Sugar mamy Sugar mamy Sugar mamy...
Unihurumie babu yangu eeeh (eeeh)
Najua kwamba una pesa na unanipendaa,
Sio lazima unichunge kama askari jelaa eeeh.
Ujue kwamba ninaye mke nyumbanii,
Tulibarikiwa na Mungu eeh akatupea watoto,
Sitaweza kumuacha mke wangu na wana
Wangu wapate shida sana eeeh (eeeh).
Nikitaka kwenda nyumbani nione wanangu,
Ajabu kwamba wananihesabia masaa, mangapi nimetumia eeeh.
Uninunulie kitengee nishone habakoksiii,
Mbona kidogo waninyanganya bakoksi, yangu mbele za watu eeeh.
Sugar daddy sugar daddy sugar daddy,
Unihurumie babu yangu eeeh (eeeh).
Najua kwamba una gari na unanipendaa,
Sio unifatefate kama kuku na vifaranga eeeh
Najua kwamba una pesa na unanipendaa,
Sio unifatefate kama kuku na vifaranga eeeh.
Ujue kwamba ninaye mume nyumbani,
Tulibarikiwa na Mungu ee akatupea watoto,
Sitaweza kumuacha mume wangu na wana
Wangu wapate shida sana eeeh (eeeh).
Nikitaka kwenda nyumbani nione wanangu,
Ajabu kwamba wanihesabia masaa mangapi nimetumia eeeh.
Ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwaa,
Ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu eeh.
Tamaa iliua fisi.
Ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwaa,
Ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu eeh.
Tamaa iliua fisi.
Umasikini sii kilemaa,
Matatizo ya duniaaa,
Leo kwako kesho kwanguu,

Leo kwangu kesho kwako,
Ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwaa,
Ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu eeh.
Tamaa iliua fisi.
(Native Lingala words)
Written by: Lady Isa

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...