album cover
Sawa
album cover
00:05
00:45
01:15
02:05
00:00
02:31
Past 7 Days
Sawa was discovered most frequently at around 45 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Maisha yanakwenda race
Unazidi struggle
Wenzako wana make
We mambo bado
Mpaka kuna muda unakosea
Kuna muda unakufukuru
MUNGU hatendi fair
Na maisha hayataki uwe soft
Ila ujue tu ku balance
Wengine roho chafu
Na wengine roho safi
Na
Na sio usafi wa mashati
Ni usafi wa kwenye nafsi
Yule ukikosa anaumia
Sio yule kikowapi
Na kuna mihadarati
Muombe MUNGU uwe safi
Ukiwa mkubwa ndio utajua
Kuna majukumu
Utajua kwanini
Mtoto wa jirani anavuta ndumu
Utajua kwanini
Kuna baadhi ya ndoa hazikudumu
Kwanini jirani
Maisha safi na alikunywa sumu
Kumbe depression
Sad generation
Social media
Zinatupoteza direction
Imaginations
Za wengi zinafanya
Utoke kwenye Direction
So you gotta stay stronger
Nilipo leo sio nilipotoka
Namshukuru MOLA nipo sawa
Ridhiki ni kwa mafungu
Fungu langu likifika itakuwa sawa
Wala sio rahisi
Kuna muda nahisi kupagawa
Tutavuna kwa uchungu
Imeandikwa mwisho
Mambo yatakuwa sawa
Written by: Said Selemani Kakombe
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...