album cover
Mwisho
album cover
Mwisho was released on December 4, 2025 by Jextra Tz as a part of the album Mwisho - Single
ReleasedDecember 4, 2025
LabelJextra Tz
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Nimejua penzi ni tamu likiwa ni la kweli
Maana me kwako nishazama
Niko radhi ata ku spendi
Ata
Ukinipa usiku mchana sinaga mambo mengi
Jua kwako me Sina fahamu
Kama chizi kweli kweli
Na nilipokutana nawe
Moyo ukaniambia tena sishangai wala Sina nia
Wenye chuki nao wafurahi msije mkajifia kwako nimedie Tena nimefia
Me nawe mpaka mwisho
Mwisho Yani kifo
Me nawe mpaka mwisho
Mwisho Yani kifo
Atuachani mpaka mwisho
Mwisho Yani kifo
Ooh Yani ni mwisho
Mwisho mpaka kifo
Na Kila nikilala nakua naota unanipenda tu mimi
Nishapita Kwa wengi
Ila kwako nitachili
Na kama twa gombana lawama ntabeba mimi
Na iwe usiku mchana
Utakua kwangu mimi
Na nilipokutana nawe
Moyo ukaniambia tena sishangai wala Sina nia
Wenye chuki nao wafurahi msije mkajifia kwako nimedie Tena nimefia
Me nawe mpaka mwisho
Mwisho Yani kifo
Me nawe mpaka mwisho
Mwisho Yani kifo
Atuachani mpaka mwisho
Mwisho Yani kifo
Ooh Yani mwisho
Mwisho mpaka kifo
J extra tz
Written by: Jextra Tz

Loading...