album cover
Sababu
29
Christian & Gospel
Sababu was released on January 23, 2026 by Zion Njeri as a part of the album Sababu - Single
album cover
Release DateJanuary 23, 2026
LabelZion Njeri
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zion Njeri
Zion Njeri
12-String Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Zion Njeri
Zion Njeri
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Click Master
Click Master
Producer

Lyrics

Sababu
Nina sababu yakuja duniani
alie niumba mimi
ana mpango na mimi
Nami sioni tabu kuishi hivi
Moyoni mi ninaamini
Mungu yupo na mimi
Kama ni vita zinakuja nakuondoka mi naamini
Kama matatizo yanakuja na kuenda mi naamini
Kama ni machozi yanakuja kuondoka mi naamini
Kama ni huzuni inakuja na kuenda mi naamini
Prechorus
Kama leo natambaa aah basi kesho nitatembea
ipo siku nitakimbia kwa uwezo nitapaa aah
Chorus
Bado na imani
Na imani na Mungu
Na imani
Hawezi kuniacha
Na imani Na Mungu
Na imani
Atanishindia
Na imani na Mungu
Na Imani
Mimi namwamini
Na imani na Mungu
Heeeehhhh eeehh eeeh
Siwezi Kutoka Uweponi Mwake
Ananiongoza mimi ni wake
Nami Nasubiri wakati wake
Kila kitu kitakua sawa
Haaah
Mimi nasonga mbele nasirudi nyuma
Bado napambana na bado najituma
Namwamini Bwana Aliyenipa uzima
Aaahh aahh
Prechorus
Kama leo natambaa aah basi kesho nitatembea
ipo siku nitakimbia kwa uwezo nitapaa aah
Chorus
Bado na imani
Na imani na Mungu
Na imani
Hawezi kuniacha
Na imani Na Mungu
Na imani
Atanishindia
Na imani na Mungu
Na Imani
Mimi namwamini
Na imani na Mungu
Heeeehhhh eeehh eeeh
Mimi Namwamini
Mimi Namwamini
Mimi Namwamini
Yeeeeehhhh
Namwamini eeeeehhh
Written by: Zion Njeri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...