album cover
SAWA
2,205
Music
SAWA was released on January 23, 2026 by BAD NATION as a part of the album SAWA - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
02:15 - 02:20
SAWA was discovered most frequently at around 2 minutes and 15 seconds into the song during the past week
00:00
00:05
00:10
00:25
00:30
00:40
00:45
00:55
01:00
01:05
01:10
01:15
01:20
01:25
01:30
01:50
02:15
02:45
02:55
03:00
03:10
03:15
03:35
03:45
04:05
00:00
04:11

Credits

PERFORMING ARTISTS
Stans
Stans
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Stans
Stans
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Kanibal
Kanibal
Producer

Lyrics

Ooooh, Ooooh, Eeeeeeeh
Ooooh, Eeeeeeeh, Eeeeeh, Ooooho
Its' Kannibal
Yani kama Mapenzi ndio yananyonifanya,
Mimi nakosa raha basi saaawa,
Yani kama ukipenda lazima uwe bwege,
Mwenzenu yamenishinda basi saaaawa,
Sahivi nitaanza kunywa maji mengi ntalala kwa wakatiiiii,
Sasa kwanini nitake kujitoa roho,
Sasahivi bora tu niwe nasali nitubie anisamehe, Vipo vingi nimekosea
Sio kama mi siwezi kupigana ila mapenzi yalichonifanya,
Anaejua ni mwenyezi,
Sio Kama mi siwezi kubishana kwa matusi kwa kushindana,
 ila yaacheni mapenzi haaaaayaa,
Aaaah aaaaaahh aaaaaahh aaaaaahh,
Nalia Mimi nimekubali Mimi sawa,
Aaaah aaaaaahh aaaaaahh aaaaaahh,
Nalia Mimi nimekubali Mimi sawa
Saaaaaawa, eeeeh.
Umenigombanisha na Ndugu umenifanyia na Madudu,
Ukaniletea na ududu nikawa mnyonge,
Kila mara Kila saa Roho juujuu siwezi sema ulinipa Juju,
Nimoyo tu ndio ulikuhusudu ukaniona Mnyonge eeeeeh,
Nishajishusha nikafupika Nikapungua nikacheka nikalia mpaka machozi yakakauka.
Nawala Sio kama mi siwezi kupigana ila mapenzi yalichonifanya,
Anaejua ni mwenyezi,
Sio Kama mi siwezi kubishana kwa matusi kwa kushindana ila yaacheni mapenzi hayaa
Aaah aahh Nalia Mimi nimekubali Mimi sawa,
Aaah aahh Nalia Mimi nimekubali Mimi sawa.
Written by: Stans
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...