album cover
Asante
album cover
00:00
00:15
00:20
00:35
00:45
00:55
01:00
01:10
01:25
01:30
01:40
01:45
02:00
02:20
02:40
03:00
03:20
03:30
03:40
03:55
04:10
00:00
04:49
Past 7 Days
Asante was discovered most frequently at around 1 minutes into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Kwenye mapito nitetee
Nishike nivushe
Ya dunia mazito baba
Usiache yanilemee
Faraja yangu i kwako
Usinishushe nipandishe
[Verse 2]
Ya dunia mazito baba ee
Hata ninapokosea, we huna hasira
Unasamehe makosa yangu
[Chorus]
Eh, eh aah, naziona zako fadhila
Umenitendea, umekuwa upande wangu
Wewe ni nuru (Nuru) wewe ni maji (Maji)
Wewe ni uzima (Uzima) nashukuru umenitendea mema
Wewe ni nuru (Nuru) wewe ni maji (Maji)
Wewe ni uzima (Uzima) nashukuru umenitendea mema
[Bridge]
Asante Jehovah
Asante Jehovah
Asante Jehovah
[Verse 3]
Nyakati za shida, wakati wa vita
Uliniwaza toka mwanzoni
[Verse 4]
Wakanena mabaya wakanipaka za ubaya
Ulinivusha nisiaibike
Hata ninapokosea, we huna hasira
Unasamehe makosa yangu
[Chorus]
Eh, eh aah, naziona zako fadhila
Umenitendea, umekuwa upande wangu
Wewe ni nuru (Nuru) wewe ni maji (Maji)
Wewe ni uzima (Uzima) nashukuru umenitendea mema
Wewe ni nuru (Nuru) wewe ni maji (Maji)
Wewe ni uzima (Uzima) nashukuru umenitendea mema
[Outro]
Wasema nami, wasema nami Bwana wasema nami
Nyakati za shida hujanichoka, umekuwa mwema kwangu
Wasema nami, wasema nami Bwana wasema nami
Makati wa shida hujanichoka, umekuwa mwema kwangu
Written by: Philbert Afred Gilioma, Salehe Gadau
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...