Music Video

Mathias Walichupa Ft Godfrey Steven - Ni Wewe (Official Music Audio)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Songwriter

Lyrics

Mmh mmhmm eeh ee From January to December Nimejua aliyenilinda Ni Wewe Tangu mawio machweo Aliyenipa huu mwangaza Ni Wewe Nyakati za Huzuni, Furaha, Zote Unanipa amani Milimani, Mabondeni, Kote Unakuwa nami Nchi ya ahadi (Aah aah aaa) Ni nzuri imejawa na asali (iyee iyee) Mwisho wa njia (Aaah) Ni mzuri kuliko mwanzoni Wakunifikisha pale Ni Wewe eeh Ni Wewe BWANA Ooh Ni Wewe Ni Wewe BWANA Ni Wewe Ni Wewe BWANA Ooh Ni Wewe Ni Wewe BWANA Ni Wewe Ujazae podo langu mishale vitani Ni Wewe BWANA Ufutae uso wangu aibu na fedhea Ni Wewe BWANA Hayupo mwingine Wakunifuta machozi yangu Ila Ni Wewe Ninapokosa ujasiri Na nguvu zijaponiishia Msaada wangu Ni Wewe Nchi ya ahadi ni nzuri imejawa na asali Iyee iyee iyee iyee Na mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni Wakunifikisha Ni Wewe BWANA Ni Wewe BWANA Ooh Ni Wewe Ni Wewe BWANA Ni Wewe Ni Wewe BWANA Ooh Ni Wewe Ni Wewe BWANA Ni Wewe
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out