album cover
WANIPIGANIA
Gospel
WANIPIGANIA was released on January 13, 2026 by NB STUDIO RECORDS as a part of the album WANIPIGANIA - Single
album cover
Release DateJanuary 13, 2026
LabelNB STUDIO RECORDS
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Papa Ness
Papa Ness
Vocals, Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Earnest omondi amolloh
Earnest omondi amolloh
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Nescalito on the beat
Nescalito on the beat
Producer

Lyrics

WANIPIGANIA BY PAPA NESS
VERSE 1
Aah aah aah
Mungu usikie sauti yangu
Katika malalamiko yangu
Unilinde uhai wangu
Na hofu ya adui zangu
PRECHORUS
Unifiche mbali na shauri
La siri la watenda mabaya
Mbali na ghasia za watu
Wafanyao mabaya
Kila moja ambae
Anizunguka na mabaya,
Uwaondoe
Uwaoondoe saana × 2
Ah ah
Mimi siwataki kabisa
CHORUS
Hata waniweke majeraha
Waniponya
Hata ,wajaribu kuni ganga ganga
Wanipigania
Mwenyezi mungu anishindania×2
Wanishindania
VERSE 2
Walio nao ulimi wao
Kama upanga,
Kukata kata myoyo, kwa uchungu.
Wanaoshauriana juu ya
Kutega mitego na kuulizana.
Ninani atakayeiona
Kwa hiyo mungu atawapiga shabaha,
Kwa mshale mara watapigwa na kupagawa
Wanapagawa gawa gawa × 2
Watu wote wataogopa ,
Watatangaza,
Watafahamu ,(matendo yake )×2
Kazi ya mungu (watatangaza )×2
PRECHORUS
Unifiche mbali na shauri
La siri la watenda mabaya
Mbali na ghasia za watu
Wafanyao mabaya
Kila moja ambae
Anizunguka na mabaya,
Uwaondoe
Uwaoondoe saana × 2
Ahh ahh
CHORUS
Hata waniweke majeraha
Waniponya
Hata ,wajaribu kuni ganga ganga
Wanipigania
Mwenyezi mungu anishindania
Anishindania
Written by: Earnest omondi amolloh
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...