album cover
U.T.I
221
Afro-Beat
U.T.I was released on April 17, 2025 by Chamazi Music as a part of the album U.T.I - Single
album cover
Release DateApril 17, 2025
LabelChamazi Music
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM146

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kapaso Bkp
Kapaso Bkp
Performer
DJ Travella
DJ Travella
DJ
COMPOSITION & LYRICS
Geoffrey Nikoluza
Geoffrey Nikoluza
Songwriter
Hamadi Hassan Mbelwa
Hamadi Hassan Mbelwa
Composer
Adamu Salumu Mshamu
Adamu Salumu Mshamu
Composer
Jophrey Ezlom Nikoluza
Jophrey Ezlom Nikoluza
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Adasco M2 M'bad
Adasco M2 M'bad
Producer
DJ Travella
DJ Travella
Producer

Lyrics

Aaah Travelaa Uyoo
Shiii Nikikosa Gono ina UTI
Beberu travela
Nikikosa gono na uti
Adasco mtu mbaaya
Mi mwenzenu sikuamini nilipenda kahaba
Kweli umalaya jau mi mwenzenu niliyavaba
Kidemu jau kimepita mpaka na baba
Kina historia mbaya kimepigwa mtungo na mtu saba
Oya kamwili kangu daaaah nikikosa gono u.t.i
We jaman kwamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
Navyo jisikia kamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
Ndo hivyo kamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
Mi kwanza nilikuwa mjinga sikuweza kufikiRia
Demu anakuwa mwepesi kama vocha ya kukwangua
Kila nacho mwambia yeye kazi kuitikia
Nikakashika mkono mpaka gheto kakaingia
Yani kinacho nichanganya kamwili kangu sikaelewi
Mbona kiuno kimekaza au ndo ivyo na uti
Nimechanganyikiwa mbona kama sitoboi
Jana alivyo nikamia Uyu demu hajanipa chai Kweli
Oya kamwili kangu daaaah nikikosa gono u.t.i
We jaman kwamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
Navyo jisikia kamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
Ndo hivyo kamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
Oya apa kuna comaplain kuna the Zeshen
Kuna kitu nashindwa ku metion action
No question answers and corrections
Nibipu nikupigie jishauwe nikuvimbie
Una fake life tu ngoja upakuliwe
Hupendi ukosolewe kila kitu ujue wewe
Kijana bize na umbea ngoja udonyolewe
Aaiii
Kitambaa cheupe kuna wachumba pale
Nikadata nae sikutaka kujua amepima nikaondoka nae
Element lounge kuna wachumba pale
Mambo ya kujua anagono nilijua badae
Heheheeh Shiiii Beberuu
Kapaso hapa, genius from Tanzania
Anaitwa Mobby Talent, we chamossy director
Watoto bkp brand, we don mendezi kaiza Ladern
Anakusalimia dee smart hot code code
We china marangi wakuache
Big Man Stima
Dj travella aaaadaah
Written by: Adamu Salumu Mshamu, Geoffrey Nikoluza, Hamadi Hassan Mbelwa, Jophrey Ezlom Nikoluza
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...