album cover
Katrina
1
Music
Katrina was released on January 28, 2026 by Nomad Creatives as a part of the album Nkuluget
album cover
Release DateJanuary 28, 2026
LabelNomad Creatives
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM115

Credits

PERFORMING ARTISTS
PILAZ PILONJE
PILAZ PILONJE
Performer
nOMAD CREATIVES
nOMAD CREATIVES
Accordion
COMPOSITION & LYRICS
PILAZ PILONJE
PILAZ PILONJE
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
nOMAD CREATIVES
nOMAD CREATIVES
Graphic Design

Lyrics

Katrina baby I want to change my number
Unanisumbua
Unanisumbua
Sio call sio message
Unanitusi sana
Wafanya naugua
Wafanya naugua
Katrina baby I want to change my number
Unanisumbua
Unanisumbua
Sio call sio message
Unanitusi Sana
Wafanya naugua
Wafanya naugua
Kizunguzungu mami
Zimekumba na Homa
Unataka Kiki honey
Nikikuona nahema
Nikikumbuka Nani
Unavyofanya natona
Kidonda suguu hakii
Nitachelewa kupona
Sifanye rival nami
Sulubu nafsi itabonda
Nikikutuma baby
Hautarudi mapema
Kama kasoro nawee
Nikikuuliza pang'ang'a
Badala kuishi nami
Unatamani kuhama
Hakuna laki mami
Mbona pizza na nyama?
Katrina baby I want to change my number
Unanisumbua
Unanisumbua
Sio call sio message
Unanitusi Sana
Wafanya naugua
Wafanya naugua
Katrina baby I want to change my number
Unanisumbua
Unanisumbua
Sio call sio message
Unanitusi Sana
Wafanya naugua
Wafanya naugua
Ni mapenzi ya kudanganya
Ai danga
Sijapenda kudanganywa
Ai danga
Ni mapenzi ya kudanganya
Ai danga
Nimechoka kudanganywa
Ai danga
Ai ai sawa sawa
Wewe Sio wangu dawa
Unapenda kugawagawa
Ukidhani utajajawaa
Ai ai sawa sawa
Wewe sio wangu dawa
Unapenda kugawagawa
Ukidhani utajajawaa
Nimegundua na wewe
Hujanijali mwenyewe
Nimekupa vyote
Hauridhiki kwa nini?
Umefika kwa koo
Natamani kukutema
Nikiachana na wewe
Ni kisirani mamaa
Katrina baby I want to change my number
Unanisumbua
Unanisumbua
Sio call sio message
Unanitusi Sana
Wafanya naugua
Wafanya naugua
Katrina baby I want to change my number
Unanisumbua
Unanisumbua
Sio call sio message
Unanitusi Sana
Wafanya naugua
Wafanya naugua
Ni mapenzi ya kudanganya
Ai danga
Sijapenda kudanganywa
Ai danga
Ni mapenzi ya kudanganya
Ai danga
Nimechoka kudanganywa
Ai danga
Written by: PILAZ PILONJE
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...