album cover
Nitakubali
145
Christian & Gospel
Nitakubali was released on February 14, 2026 by Mozes Tz as a part of the album Nitakubali - Single
album cover
Release DateFebruary 14, 2026
LabelMozes Tz
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM94

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ivan Mozes
Ivan Mozes
Bass
COMPOSITION & LYRICS
Ivan Mozes
Ivan Mozes
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ivan Mozes
Ivan Mozes
Producer

Lyrics

[Instrumental Intro]
Mm, Beloved tena
[Verse 1]
Acha niutangaze uzuri wako we
wote wajue wako utatu
pili nizitangaze sifa zako we
na moyo wangu wote nitakupa tu
sio kwamba mkamilifu
nina madhaifu mwenyewe waona
ila ukitaka niende nitakubali haraka
maana ulinilipia deni yangu mwenyewe naona
kwaajili yangu mimi ukajitoa sadaka
Chorus
We ukiongea neno moja
sema wapi niende ehh (nitakubali)
we ukiongea ah neno moja sema wapi niende (nitakubali)
Kubalii iii (kubali)
sema wapi niende ehh (nitakubali)
Kubali iii (kubali)
sema wapi niendee ehh (nitakubali)
[Instrumental]
[Varsie 2]
Sitaki nikuwe kama yona
kwenye samaki nikamezwa
kiboko cha nini wakati tayari nishaitika
Nimejifunza nimeona
nikikataa nitadhalilika
yanini kufa mimi bora kutenda miujiza
(Mhhh aiyeeee)
Dady some body alinipea habari
kuhusu wewe nakubaliana na yeye
dady some body atanipea habari
kuhusu wewe mbaya nitampinga mwenyewe
Chorus
We ukiongea neno moja sema wapi niende ehh (nitakubali)
we ukiongea ah neno moja sema wapi niendee ehh (nitakubali)
Kubalii iiii (kubali)
sema wapi niendee ehhh (nitakubali)
Kubalii iii (kubali)
sema wapi niende ehhh (nitakubali)
Instrumental
Written by: Ivan Mozes
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...