album cover
Kongo Iyo
album cover
Kongo Iyo was released on January 11, 2026 by Andres bushiri as a part of the album Kongo Iyo - Single
January 11, 2026
LabelAndres bushiri
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

UKI kuta vipaji vimepanga udjuwe Ndo kongo (udjuwe Ndo kongo oyo) usiku watu wana uwa wa na Kabana Ndo gisi tuna Vio ishi vio (tuna Vio ishi vio) uta kuta mtu ana tchakufanya mchana nzima a na fatalia Tu msichana mchana ana vimba usiku ana tembea na panga eti natafuta kumbi usiku (ana kabana) congo iyo (kongo iyo) Ndo gisi tuna Vio ishi vio (tuna Vio ishi vio) congo iyo (kongo iyo) Ndo gisi tuna Vio ishi vio (tuna Vio ishi vio) congo iyo (kongo iyo) Ndo gisi tuna Vio ishi vio ( Ndo gisi tuna Vio ishi vio) congo akuna mzaa watu wana Kesha Bar yani mtu bora anye pombe ashinde na cthaa yani mpaká na Shanga úta fikiri vichaa ya ni mtu bora ashinde na cthaa asikose ya ku vaa yani congo inavuruga na ubongo siku izi wana uza na uwongo wana peyana uwongo uta fikiri mchongo eti mapambano mamá Yako anateseka familia ya ko ina teseka uku uki djida yi eti una pesa Congo inachekesha atuko bise na pasa yani mtu akisha pata tu za kunwa pombe eti inatosha
Written by: Andres bushiri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...