album cover
Juu
album cover
Juu was released on February 22, 2026 by Zama Records, Villaggio Media, Ksound as a part of the album Urizi
AlbumUrizi
February 22, 2026
LabelZama Records, Villaggio Media, Ksound
LanguageFrench
BPM190
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

(ah iyeye en han ! Nemisi ye nyanya aaaaa ahaaa
ah iyeye en han ! Nemisi ye nyanya aaaaa ahaaa )
Baba mungu na kuja tena
Na Omba uni sikiye tena
Uni bariki Niki ingiya naku toka
Misha niku pata naku kosa ! ila
Uni bariki niki umba uni patiye
Île uta fanya namimi ni shuhudiye !
 mikono Iko juu baba yetu
 Weye shusha baraka
 Si tuta pokeya yeleleeehe !
mikono Iko juu baba yetu
Weye shusha baraka
 Si tuta pokeya yeleleeehe !
Kila kulamuka mina waza pesa ila nani wangu ata Nipa yo !
Mateso yangu shida zangu nani ata zi beba
Mwana damu Nili tumaink kisha mwisho aka ni angusha eh !
Mengi Nina pitiya na vumiliya
We useme neno !
Usi ni ache baba ili wao wani cheke !
Uni shike mkono zile zile njiya Zako ndo na penda ni uni peleke
Uni shike mkono zile zile njiya Zako ndo na penda ni uni peleke
 mikono Iko juu baba yetu
 Weye shusha baraka
 Si tuta pokeya yeleleeehe !
mikono Iko juu baba yetu
Weye shusha baraka
 Si tuta pokeya yeleleeehe !
ah iyeye en han ! Nemisi ye nyanya aaaaa ahaaa
ah iyeye en han ! Nemisi ye nyanya aaaaa ahaaa
Written by: Ampire Babone Ovain
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...