Stima
2,777
Music
Stima was released on February 14, 2026 by BuruklynBoyz58 as a part of the album Stima - Single
Most PopularPast 7 Days
01:35 - 01:40
Stima was discovered most frequently at around 1 minutes and 35 seconds into the song during the past week
00:00
00:05
00:15
00:20
00:30
00:35
00:45
01:05
01:10
01:20
01:35
01:55
02:15
02:45
02:50
03:05
03:10
03:30
03:40
04:15
04:25
04:30
04:40
00:00
05:00
Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
BURUKLYN BOYZ
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Jayson Okanda
Songwriter
Malvin Kamwaro Irungu Nganga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Enock 58
Engineer
Lyrics
Tuko Opp Block na ma candle kwa giza
najua umekula naree usiplay na stima
watch usikanyage cable chunga usikanyage cable
Tuko opp block na ma cndle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment anadai amebook appointment
Mi siogopi some mi siogopi No
Ndakusmoke kama loud ya canada
Hii ni glock 19 na ni full clip mbleina anadhani hii ni banana
2 glocks na zinafanana
Zi sha zoea kubeba lawama
Ground naree watch kule unakanyaga
Zimeriet ukinitry umepagawa
Fly high Fly high bila mabawa
Na ka uko high basi jua we ni walking dead
Ningekuwa we una beef na mimi ningejinyuria instead
Si spread rumours ni nganji na spread
success inani affect
Namba uni simbatui ka we ni badman
ata sungura na isshinda ujanja
si lazma nikutrace Kichwa yako naeka Order
Wakideliver naikanja
Tuko Opp Block na ma candle kwa giza
najua umekula naree usiplay na stima
watch usikanyage cable chunga usikanyage cable
Tuko opp block na ma cndle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment anadai amebook appointment
Unstoppable
Auwezi ni mark unmarabal
Game 90 El matado
Ni Nurdin haujawahi jua mi ni walalo
maya David nikona ma blue kwenye bangalo
Na buy sprite unaeza pull up na lin...et
Zimemshika ni kaa ako jing weehhh
Old is gold.. Na ngaa kama Sling
Uta dunge apa auwezi fanya kitu Na doo
Dancehall amapiano Kitu yoyote na doo
Izo kicks ume vaa ni ma number 2
Uliza namba uno tunafwatanga mdundo
Chimbua chimbua malizwa na ma kumbo
We ndio Keeper kaa rada naachia
Ambia mana Top player ameingia
Mi mtu mbaya na flow ka Gasia
nikona knowledge yaku kubaki on top
Bissness man nazi make mna zi copyy
Mwakenya ndio hii apa ukidi unaeza Copy
Unaeza copyyyy
nikona knowledge yaku kubaki on top
Bissness man nazi make mna zi copyy
Mwakenya ndio hii apa ukidi unaeza Copy
We Mtoi wa ku come kichwa chini cheza lowkey
Tuko Opp Block na ma candle kwa giza
najua umekula naree usiplay na stima
watch usikanyage cable chunga usikanyage cable
Tuko opp block na ma cndle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment anadai amebook appointment
mi ni worri worri worri worri worri worri worri mi ni warrior
wanaboronja sana tukipatana
wanajifanya mamorio
mi ni wa east na si kutambui morio
take notes mi ni odi jo
mi ni wa east na si kutambui morio
take notes mi ni odi jo
Na stack doo hadi 34briks
Foundation imestunya auwezi vunja hii briks
Weeuwee Kichwa chini ni ma Bicycle Kick
Ita bidi mme tap out akuna cha pix
Cross upercut ... fala anaona dip dip
Ukidai smoke kuna ma fatty na ma slim slim
Official shirt nimepigilia na Bling bling
Mi ni King pin o unstoppable
Unstoppable stoppable stoppable
hatuskizi tracks mboi zao zinaboo
niko hustle nadai only more doo
funga mdomo wewe modo
Opp block niko patrol... ma fans wako chini wanashinda wananiitisha za macho
Sina kitu kila vako
Do zingine ziko kwa trap phone
Kata iyo mwethe
Opp block niko patrol... ma fans wako chini wanashinda wananiitisha za macho
Sina kitu kila vako
Doo zingine ziko kwa trap phone
Kata iyo Tenje
Tuko Opp Block na ma candle kwa giza
najua umekula naree usiplay na stima
watch usikanyage cable chunga usikanyage cable
Tuko opp block na ma cndle kwa giza
Leo kuna boy analala kwa freezer
Amebook appointment anadai amebook appointment
Mi siogopi some mi siogopi No
Ndakusmoke kama loud ya canada
Hii ni glock 19 na ni full clip mbleina anadhani hii ni banana
2 glocks na zinafanana
Written by: Jayson Okanda, Malvin Kamwaro Irungu Nganga


